Alikiba- Aje (Official Video)

Alikiba- Aje (Official Video)

nahisi ntakuwa na chuki na kiba. mbona naona video mbaya. walau lupela wale madansa wakike hunifurahisha.
 
Big up Kiba,ila nyie mnaomshindanisha na diamond ndio mnampoteza,kusema ukweli mond yuko juu kidogo ya Kiba ndio maana unaona sasa anaweza kuwatoa vijana wanaoshambulia kama nyuki,sasa anapaswa kukaza na kuongeza manjonjo
 
Video kali sana, katika video nyingi alizowahi kufanya, hii ni kali.
Lakini namshauri ajitahidi kuimba nyimbo za kueleweka, i mean zenye ujumbe, naweza kumrefer mwenyewe kama nyimbo ya Ya Karimu, Valentine, ............Yani ukisikiliza Nyimbo Basi Upate Complete Message. Atulie atapasua anga.
 
Nampongeza kidogo, taratibu anatoka wa matopeni na kuelekea wa kimataifa.

Bado kaka, huo mziki na hiyo dancing ya huyo dada mwenye chuichui na yule mwanaume mwenye kinyago haviendani kabisa, Kiba bado yuko kwenye contradiction ya kujua apige muziki wa aina gani, Bolingo, Bongo fleva au Zuku

Amekosa mameneja na washauri wazuri, huo muziki na video bado ni wa soko la Kitanzania tu
 
Wazee wa tomato #hivi mwanaume rijal unakubali kuwa balozi wa tomato haha #aje
Kwa hiyo kiba kawa balozi wa Sony ............ au na wewe ndio wale wanaoandika " sony vs tomato" ( maana unalinganisha visivyo lingana)
 
Diamond atasubiri Sana mwaka huu
Na kweli atasubiri sana mwaka huu (kwa jinsi uelewa wa mashabiki wa kiba mlivyo na uelewa mdogo wa masuala ya mziki ) kama shabiki wa kiba unalingalisha ubalozi wa tomato,voda,cocacola, fastjet na Dstv kuwa ni sawa na kiba kusaini Sony basi kazi ipo. ( hii maana yake hata hujui kwa kiba kusaini sony inamaanisha nini )
 
Alikiba has only won the the battle NOT A WAR.
Ndiyo kwanza tuko mwezi wa tano. Tusubiri tuone na mwisho wa mwaka tutaja mshindi ni nani.
Hebu tufafanulie mkuu ikifika mwisho wa mwaka ndio utajua/mutajua mshindi ni nani kwenye kitu gani ?????
 
Diamond a.k.a simba kesho tunampokea mwanza ndiyo siku atazindua wimbo wake na neyo ali kiba bado sana labda tumshinanishe na raymond
 
Back
Top Bottom