Alikiba- Aje (Official Video)

Alikiba- Aje (Official Video)

Video yake nzuri si kama zile zilizopita..7/10 anapata
 
Mimi ni timu mond kwa miaka yote, ila Kiba katika mkwaju huu katulia sana na naamini hii itamfanya Simba aungurume zaidi mda si mrefu.
Kazi kazi wana
 
Video kali sana, katika video nyingi alizowahi kufanya, hii ni kali.
Lakini namshauri ajitahidi kuimba nyimbo za kueleweka, i mean zenye ujumbe, naweza kumrefer mwenyewe kama nyimbo ya Ya Karimu, Valentine, ............Yani ukisikiliza Nyimbo Basi Upate Complete Message. Atulie atapasua anga.
Muziki wa ujumbe kibongo bongo haulipi ni mwendo wa kuropoka tu kuhusu mapenzi yasiyoelewaka mbona wabongo watakukubali
 
Ni aibu kwa staa kutengeneza video with poor quality kama hii naona giza tu audio yenyewe magumash vidoe mbov huyu jamaa anajua ila ubahili unamponza
 
Nzuri
Kumbe ile audio na yule rapa yumo ni remix [emoji30][emoji30] nimemzimia ile mistar alioshusha muleeee
 
Tangu Jana hadi leo kituo cha sound city cha Nigeria kimeweka jina la Alikiba katika screen yao kwamba ni "Alikiba day".
 
Kwahii video Alikiba kajitahidi sana hasa kipande anachoimba kifaransa kwa kweli amenikosha!!
 
Kwahii video Alikiba kajitahidi sana hasa kipande anachoimba kifaransa kwa kweli amenikosha!!
Kweli kipande cha kifaransa ni noma jamaa zouk zinamfaa sana..nimeangalia video more than 7 times bado sichoki
 
Mmh atoto unamuita kwenye haya mambo? Labda kama wanagawa hela humo ndani. Kafanya poaaaaaa sana Kiba


Hahahaaa!, wewee!, eti kama wanagawa hela kwenye mwimbo...lol!

Yaani hapa Kiba katenda kitendo, nimependa alivyo kikoroga pia kama vile kashuka few minutes ago from parii!
 
Hahahaaa!, wewee!, eti kama wanagawa hela kwenye mwimbo...lol!

Yaani hapa Kiba katenda kitendo, nimependa alivyo kikoroga pia kama vile kashuka few minutes ago from parii!
Hahaha hatoelewa kama hapa unampa exopozha, atataka expozha na hela teh

Hahaha mama x-pozha umepamiss Parii ghafla eeh
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom