Alikiba- Aje (Official Video)

Alikiba- Aje (Official Video)

"You can teach me speak swahili.... like sawa sawa mambo vipi"
Ameharibu sana kuitoa hii verse
 
Ndio anawaambia mashabiki wa kiba kuwa kwa sasa kiba kawa balozi wa Sony na ndio maana mashabiki wao wengi wanaandika " sony vs tomato"

Rose muhando pia anasimamiwa na Sony...wanalijua hilo?
 
Kwa hiyo kiba kawa balozi wa Sony ............ au na wewe ndio wale wanaoandika " sony vs tomato" ( maana unalinganisha visivyo lingana)
Point ni kwamba yule jamaa amepata deal la tomato anasumbua insta je deal la Sony angepata insta ingekalika ndo maana watu wanaweka tomato vs Sony maana yake amepata la tomato hali ndo ile angepata Sony? Mr misifa
 
Sauti nzuri hila haya mashairi ka underground mashairi mepes sana
 
Sauti nzuri hila haya mashairi ka underground mashairi mepes sana
Hivi bongo kuna nyimbo yenye mashairi mepesi kama "utanipenda " ya diamond hata mtoto mdogo anatunga Yale mashairi akitulia #hater
 
Hivi bongo kuna nyimbo yenye mashairi mepesi kama "utanipenda " ya diamond hata mtoto mdogo anatunga Yale mashairi akitulia #hater
Usanii unajumuisha pia kufanya kitu cha kawaida kivutie...kusema ukweli huwezi kumlinganisha Kiba na diamond, Kiba anahitaji kutulia kidogo afanye kitu bora zaidi. Kiba ana mashairi na sauti nzuri ila kuna vitu anamiss hasa namna ya kuteka watu,kujibrand na swagg na ndio maana utaona diamond anazidi kuchukua tuzo za kimataifa lkn Kiba anashindwa. So ngoja tuvute subira na hili dili la sony labda atapaa zaidi. Time will tell.
 
Huyu ndio msanii wa KIMATAIFA mzee wa madili, sio kama wale wauza tomato
 
Usanii unajumuisha pia kufanya kitu cha kawaida kivutie...kusema ukweli huwezi kumlinganisha Kiba na diamond, Kiba anahitaji kutulia kidogo afanye kitu bora zaidi. Kiba ana mashairi na sauti nzuri ila kuna vitu anamiss hasa namna ya kuteka watu,kujibrand na swagg na ndio maana utaona diamond anazidi kuchukua tuzo za kimataifa lkn Kiba anashindwa. So ngoja tuvute subira na hili dili la sony labda atapaa zaidi. Time will tell.

Shika adabu yako huwezi kumfanaisha msanii Aliye lable moja na chris brown na huyo muuza tomato,
 
Shika adabu yako huwezi kumfanaisha msanii Aliye lable moja na chris brown na huyo muuza tomato,
Acha utoto we kijana,kuwa label moja ndio nini,mbona husemi label moja na Nakaaya? Hebu hesabu kwanza vitu alivyofanya diamond ndio uje upige kelele hapa,msanii mjanja ana management yake binafsi,unafikiri voda,coca,dstv,fastjet na ivory ni wajinga,yani hawaoni mtu mwingine hadi wakajazane kwa mtu mmoja,lazima ufike wakati uache ushabiki wa kijinga na kusema facts. Kuna msanii East Africa mwenye label yake inayokuza vipaji vipya!?
 
Kumbe bado kuna watu wanamshindanisha kiba na mtu ambae mh mbunge anawaza tumuweke sanamu posta hamuwez kuwa serious. Atakua lebo moja na chris breezy lkn chibu ataanza kufanya kolabo then mr jungle atafuata footsteps
 
Finally nimepata muda wa kuangalia hii video leo... Kiba umetisha sana hapa, nakupa 9/10..
 
Tatizo la Ali Kiba lilikuwa kwenye Video zake, sasa karekebisha Video kaharibu tena kwenye Wimbo, siku zote huwa hawezi kubalance vyote

...........wimbo hata angetunga Mpoki angemzidi, poor song writing!

#OVERRATED
 
look here...diamond is building his label. ...wengine wanaingizwa kwenye label za watu
hapo ndo unapotimia ule msemo wa "lazima ujue kutofautisha kati msalaba na jumlisha,kuna x na kuzidisha"...that is diamondplatnumz anachokifanya leo kitakuja kuigwa na wengine 3 yrs later akiwa tyr keshamove kwenye another plans...nazani jamaa ana business plan ya 30-50 yrs to come.God will!
 
Ndo maana anaitwa simba..... Wengine wanajarb ila wamechelewa
 
Mimi sijaelewa maana ya hii nyimbo kwakwel. Ila video imekaa mahali yake.
 
Back
Top Bottom