Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
wait shoo zake uone atakavyo jaza watu kama huyo mwana mama uliye msema hapo juu ndipo utapata jibu stahikihili sio jibu la swali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wait shoo zake uone atakavyo jaza watu kama huyo mwana mama uliye msema hapo juu ndipo utapata jibu stahikihili sio jibu la swali
Diamond atasubiri Sana mwaka huu
ndo unachokiwaza?au ndo unachokitamani?Diamond atasubiri Sana mwaka huu
Nampongeza kidogo, taratibu anatoka wa matopeni na kuelekea wa kimataifa.
Seven Mushi ndio meneja wake ( alishawahi kuwa mtangazaji clouds)nani ni mshauri wa huyu jamaaa?
hakuna kitu hapoSeven Mushi ndio meneja wake ( alishawahi kuwa mtangazaji clouds)
Kwa hiyo kiba kawa balozi wa Sony ............ au na wewe ndio wale wanaoandika " sony vs tomato" ( maana unalinganisha visivyo lingana)Wazee wa tomato #hivi mwanaume rijal unakubali kuwa balozi wa tomato haha #aje
Ndio anawaambia mashabiki wa kiba kuwa kwa sasa kiba kawa balozi wa Sony na ndio maana mashabiki wao wengi wanaandika " sony vs tomato"hakuna kitu hapo
Na kweli atasubiri sana mwaka huu (kwa jinsi uelewa wa mashabiki wa kiba mlivyo na uelewa mdogo wa masuala ya mziki ) kama shabiki wa kiba unalingalisha ubalozi wa tomato,voda,cocacola, fastjet na Dstv kuwa ni sawa na kiba kusaini Sony basi kazi ipo. ( hii maana yake hata hujui kwa kiba kusaini sony inamaanisha nini )Diamond atasubiri Sana mwaka huu
Hebu tufafanulie mkuu ikifika mwisho wa mwaka ndio utajua/mutajua mshindi ni nani kwenye kitu gani ?????Alikiba has only won the the battle NOT A WAR.
Ndiyo kwanza tuko mwezi wa tano. Tusubiri tuone na mwisho wa mwaka tutaja mshindi ni nani.