Kwanza kabisa kwa Mara ya Kwanza Ali Kiba ametoa video nzuri yenye mashiko.
Video na wimbo vimeendana sana. Na hata aliyekuandalia screen play and Choreography Mhh yuko vizuri.
Sasa Kiba aisije haribu aisee. Maana kwenye Mwana na Cheketa alituumiza wapenzi wa nyimbo.
Nyimbo zilikuwa nzuri saaana lakini video siyo nzuri sana.
Bwana Kiba kama muendelezo utakuwa ndiyo huu basi nina uhakika ushindani wako na Diamond utakuwa Even kabisa.
Na hapo ni lazima muziki wa Bongo utasonga mbele.
Kudos Kiba.
Kwa wale wenzangu timu wasafi,
Hii video imetunyoosha sana. Lakini hakuna namna tunajikaza kisabuni na kusonga mbele.
πππππππ
Majeraha kwenye vita ni kitu cha kawaida sana.
Na sisi tutatoa na Celine Dion sasa