AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Akielekea kuachia album yake mpya msanii wa kitambo Ali Saleh Gentamilan au Ali Kiba, amemdiss Mfalme wa Afro Pop duniani Diamond Platnumz.

Lakini wadau wameusisha diss yake na promotion ya album yake mpya.

Screenshot_20210520-130924_Twitter.jpg

 
Sawa tushamsikia basi,apite nayo hii kiki manake alituambia mwanzoni mwa mwaka anaachia album kwani nusu mwaka tunakaribia kuumaliza.
 
Habari Wana Jf

Kweli nimeamini mziki unekuwa mgumu Sana yaani kwa kitendo hivhi cha kitoto ambacho Amekifanya Alikiba imejidhihirisha wazi kua Diamond platinumz ndio a true definition of mature musician.

Na hii inadhihirisha kwa Sasa hakuna msanii ambae bila kupitia Kiki ya Diamond platinumz anatoboa [emoji23][emoji23][emoji23],Kama Alikiba kaingia kwenye mipasho Kama ya Khadija kopa Sasa amesubiria Nini kusataafu.[emoji24][emoji24][emoji24]

Harmonize na Alikiba wanasafari ndefu ya kujifunza kutoka kwa DIAMOND PLATINUMZ na RAYVANNY jinsi wanavyo behave kwenye jamii.

Alikiba ameona upepo umekata wote ameamua apitie mlango wa diamond platinumz kuongelewa na ili atoe Album Yake ya utopolo.[emoji383][emoji383][emoji383]

WARNER MUSIC GROUP nasikia inampa kiwewe sana na amechanganyikiwa sana.

N.B: DIAMOND PLATINUMZ NAOMBA ASIMJIBU NA KUMPA BOOST YA ALBUM YAKE YA UTOPOLO.

Diamond platinumz anahela[emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]
 
Back
Top Bottom