Hivi hawa watu wanaomsema vibaya Mond,wanaelewa kwanini wanafsnya hivyo kwa chuki?
Kwanini hawamsemi Juma nature,Marioo,Au baraka da prince!?
Sababu moja tu,mti wenye matunda.......?Diamond ana kitu,na hicho kitu(mkwanja),unawatisha watu vibaya,kushoto kulia,mtoto wa Tandale akapiga pesa,watu wanashangaa,
Wahenga walisema"people hate what they can't conquer,fear what they don't understand"
Mond anamiriki Media house,ametoa ajira kibao,Harmonize,Rich movoko wote wamekuzwa na wasafi,Kiba amemkuza nani?ajira ngapi katoa.