AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

Pia Lina asili ya Kigoma, ni jina maaruf huko
 
Kwa sadala, boma, Sanya 😂😂.. umenikumbusha mbali sana kipindi hicho nasoma moshi tech pale tulikuwa tunapanda vidaladala vya kwenda huko tunashuka Karanga tunaingia skonga
Aisee yaani hili jina kila nikiliskia eti ndo la Diamond Platnumz, huwa naishia kucheka kimoyomoyo. Kule kwetu Kilimajaro kuna eneo moja linaitwa 'Kwa Sadala' karibu na bomangombe. Sasa kitendo cha Ali Kiba kumbatiza mwenzake Sadala, halafu nikikumbuka hayo maeneo ya 'Kwa Sadala' yalivo yalivo mbavu zinanipasuka kwa kicheko. Yaani Sadala inakuwa kama mtu mshamba mshamba maana eneo lenyewe kuna kama udongo mwekundu balaa

Aisee Ali Kiba we sio mtu mzuri aisee... nakuambia hivi... Mbingu utaisikia.. eti 'SADALA' 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wapiga debe walikuwa wanaita... kwa sadala, boma, Sanya 😂😂😂... umenikumbusha mbali sana kipindi hicho nasoma moshi tech pale tulikuwa tunapanda vidaladala vya kwenda huko tunashuka Karanga tunaingia skonga
 
Kwa sadala, boma, Sanya 😂😂.. umenikumbusha mbali sana kipindi hicho nasoma moshi tech pale tulikuwa tunapanda vidaladala vya kwenda huko tunashuka Karanga tunaingia skonga
Wapiga debe walikuwa wanaita... kwa sadala, boma, Sanya 😂😂😂... umenikumbusha mbali sana kipindi hicho nasoma moshi tech pale tulikuwa tunapanda vidaladala vya kwenda huko tunashuka Karanga tunaingia skonga
Hatari sana.. hili jina naona liki trend kwa kipindi kirefu sana
 
Hahahahah acha tumsagie kunguni na kumkaangia Simi[emoji1][emoji1][emoji445]
 
Back
Top Bottom