AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

Ni soko lililoko mkoani Kilimanjaro
Screenshot_20210520-192113.png
 
Kwa Sadala.....

Aisee! Pale kuna vibaka wanachomoa balaa. Hata hela iliyopo kwenye bukta wanachukua.

Sasa sijui ndo watoto wa Sadala ama la!.
 
Habari Wana Jf

Kweli nimeamini mziki unekuwa mgumu Sana yaani kwa kitendo hivhi Cha kitoto ambacho Amekifanya Alikiba imejidhihirisha wazi kua Diamond platinumz ndio a true definition of mature musician.

Na hii inadhihirisha kwa Sasa hakuna msanii ambae bila kupitia Kiki ya Diamond platinumz anatoboa [emoji23][emoji23][emoji23],Kama Alikiba kaingia kwenye mipasho Kama ya Khadija kopa Sasa amesubiria Nini kusataafu.[emoji24][emoji24][emoji24]

Harmonize na Alikiba wanasafari ndefu ya kujifunza kutoka kwa DIAMOND PLATINUMZ na RAYVANNY jinsi wanavyo behave kwenye jamii.

Alikiba ameona upepo umekata wote ameamua apitie mlango wa diamond platinumz kuongelewa na ili atoe Album Yake ya utopolo.[emoji383][emoji383][emoji383]

WARNER MUSIC GROUP nasikia inampa kiwewe sana na amechanganyikiwa sana.

N.B: DIAMOND PLATINUMZ NAOMBA ASIMJIBU NA KUMPA BOOST YA ALBUM YAKE YA UTOPOLO.

Diamond platinumz anahela[emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]
Alikiba kama Yanga, wamechoka
 
Alichofanya diamond kulia lia kwamba yeye ni tajiri ni kituko mtu yoyote lazima amdhihaki kwa kile kitendo diamond ndo ana vingi vya kujifunza kupitia wenzie
 
Haki nimecheka hapo pa kujifunza jinsi dai na ray wanavyobehave kwenye jamii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] i was like, "seriously"!!!!!!!
Yaan chawa wa WCB wana haha hatari lol, tuishie kuwatazama tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
"SADALA" ila King kiba jaman khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom