AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

Pia Lina asili ya Kigoma, ni jina maaruf huko
 
Kwa sadala, boma, Sanya 😂😂.. umenikumbusha mbali sana kipindi hicho nasoma moshi tech pale tulikuwa tunapanda vidaladala vya kwenda huko tunashuka Karanga tunaingia skonga Wapiga debe walikuwa wanaita... kwa sadala, boma, Sanya 😂😂😂... umenikumbusha mbali sana kipindi hicho nasoma moshi tech pale tulikuwa tunapanda vidaladala vya kwenda huko tunashuka Karanga tunaingia skonga
 
Hatari sana.. hili jina naona liki trend kwa kipindi kirefu sana
 
Hahahahah acha tumsagie kunguni na kumkaangia Simi[emoji1][emoji1][emoji445]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…