Alikiba ameshinda Mtv Ema lakini hakustahili zaidi ya Wizkid!

Hivi hata kwa akili ya kawaida tu ya kuvukia barabara unaweza kweli kumlinganisha alikiba na wizkid?.lets be realistic jamani.
 
Yaani hapo tu kuhusu diamond nimekuelewa sa hiv too much copying mm diamond wa mbagara na nitarejea
 
Diamond anafanyaga figisu yule kwa nyimbo gani kwa mfano
 
Kwa hiyo huyo unayemshabikia mondi wako angepata ingekua bora zaidi ya wizkid au, kupata Kwa kiba wewe kuna kuwasha nini sasa kapata sasa keleleeee utachongwa

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana unajua mengi mkuu. Naomba unipe list ya wadhamini, majaji na wandaaji PAMOJA NA NCHI WANAZOTOKA. Ndio nijue kama wapo wa Afrika mashariki.
 
my gbedu is final, wizzy baby baba nla won My girl wear designer, everytin wey I give am final eh r eh I no like wahala, oh wizzybaby baba nla won Say my gbedu is final, wen me drops everybody no dey tire eh e eh
 
my gbedu is final, wizzy baby baba nla won My girl wear designer, everytin wey I give am final eh r eh I no like wahala, oh wizzybaby baba nla won Say my gbedu is final, wen me drops everybody no dey tire eh e eh
Sasa mbona hamkupiga kura???

Watu wamepiga kura kwa kiherehere, matokeo yake ndio haya.
 
Natoa tamko sasa.wote waliokuwa wanatetea upuuzi wa figisu za mtvbase ni matahira.

Pumbavu sana kazi kuendekeza uteam.
 
Laana ikushukie mpaka kizazi chako cha nne, shame on you hater
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…