Alikiba ameshinda Mtv Ema lakini hakustahili zaidi ya Wizkid!

Alikiba ameshinda Mtv Ema lakini hakustahili zaidi ya Wizkid!

kiba kama mtoto wa kambo kulalamika hakuishi.
Nenda post ya mtvema wamejibu kuwa kiba ni mshindi by public vote so nini kinafata facebook
1478627011281.png
 
hivi kwa akili zenu hicho kisms cha kuedit cha MTVEMA
Kina make sense?????
team kiba hebu endeleeni na mambo ya msingi...

tuzo kubwa sponsor ndio ana final decision
mwaka huu wameamua kumng'arisha wizkid ..
nyamazeni mkafanye show mombasa
Nenda hii post kwenye page ya facebook ya mtvema wamemjibu jamaa aliyewauliza sio unaandika tu hata ushahindi hauna!!
1478627222452.png
 
Nazungumzia hiyo account ya facebook ya hao jamaa wanaosema wamejibiwa na account ya mtvema..

Hiyo uliyonionyesha wewe ni Website mkuu..
Nenda kwenye hii post ya facebook ya mtvema utakuta jamaa kajibiwa
1478628015469.png
 
Wewe umetumwa na kiba ulete propaganda
 
Basi hao Mtv EMA watakuwa wasenge kwa sababu 3 zifuatazo
1.kama vigezo vya kumshinda Wiz,Ali hana basi wasingemuweka kwenye hicho kipengele na wangeweka watu wanaonekana wanashabiihana na Wiz huo usenge
2.ushindi hautokani na kura then wanasumbua watu wapige kura huo usenge
3.kukiri Ali ana kura nyingi ila hastaili kuwa mshindi huo usenge coz km Wiz anafanya vizuri kimataifa lazma angepata kura nyingi,unaposema kimataifa ina maanisha anakubalika na wengi kuliko Ali
Mwisho Ali ana haki ya kuwauliza kiundani coz kasumbua watu usiku na mchana wampigie na kura zilitosha kuleta ushindi then iweje wa mnyime sasa Mara milioni hiyo mwakani wasimpe shavu kuliko kusumbua watu,kinacholeta utata wamewafanya watu wajinga kupiga kura then badae wanaleta vigezo vingine wangesema mapema hayo yasingetokea so wamekosea na wakubali lawama coz hawana mpangilio na unaoeleweka ktk utoaji wa izo tuzo
 
Hivi tangu lini Kiba aliwahi kukubali kushindwa? Juzi kati Diamond alivyoshindwa huko South africa unakumbuka alisemaje? Alikubali kushindwa akawa anaangalia mbele

Alikiba kila akishindwa ni mtu wa kulalamika,kutafta mchawi na kutaka kuonekana kaonewa.anaangalia sana nyuma.na hiki kipo kwa watu wengi wasio kuwa washindani...
Kwa mujibu wa iyo post kiba hakushindwa,kashinda ila tuzo kapewa mwingine kwa vigezo vilivyobuniwa siku iyo ya ugawaji tuzo
 
Moja ya Jambo baya kabisa la watanzania kutokuendelea, ni kutokuwa na vyanzo vya uhakika vya habari thus why most of time we fail in decision making
ingia hapa uone ninachosema
usilete vitu visivyo na fakiti.
MTV EMA 2016 | 6.11.2016 | Rotterdam | Vote - Best Africa Act uone ninachosema
MTV EMA 2016 | 6.11.2016 | Rotterdam | Vote - Best Africa Act uone tofauti tunayoisema
Njoo na Fact, Acheni Dharau.
Ntaamini vp kama ivyo vyanzo ni vya uhakika wakati na wewe mwenyewe m bongo,au ume mention apo juu wewe sio m bongo??
 
Jikite kwenye Mada,,sina muda wa kutaja nyimbo zake,, Kama unamjua Ali mpaka umeamua kumponda hata penye ukweli unazijua nyimbo zake,,, mnajitia wajuaji wa kila kitu,, ni nyimbo gani iliyovuma ya blackcofee kiuhalisia iliyompelekea kushinda bet???!!ukweli ni kuwa kwenye hizi tuzo kuna utata!! Ila team diamond mnachofanya mnaoverlook huo utata badala yake mnakimbilia idea ya kuwa alikiba ni mlalamishi,idea ambayo mnayo kichwani,,, mna chuki kiasi kwamba hata ikitokea alikiba kadhulumiwa wazi na ushahidi ukawepo mtasema hakustahili
Ulalamishi wake unaonekana..mwaka jana tu katoa lawama tuzo zinanunuliwa...mombasa tu kalaum eti kwanini manager wa dai alikuwa backstage ...
 
Lazima alalamike sababu huwa anashinda alafu watu wanageuza matokeo
Ushahidi ni hizo kura za mtvema
System zao zimewaumbua ila sema tu kiba akisema kitu watu wanamuona kama mnafiki wakati nikweli.

Kingine cha ziada
Siku zote mtu mnafiki na mwenye chuki ndio huwa anapendwa kabla watu hawajmshtukia so kaeni mkao wa kula maongo yenu yote ipo cku raia watajua mnachofanyaga
Kwahiyo usha admit kuwa kiba ni mlalamishi. Manake hata hii post yako ina ulalamishi ...kwahiyo dai ananunua tuzo,mkuu....bas itabid na kiba nae anunue mbona pesa anayo...
 
Hujaeleweka hata kidogo.. Kama kura sizingekuwa na nafasi then wasingesema tupige. Kwa akili timamu kabisa iyo ipo wazi kuwa king kiba kafanyiwa figisu kama mlivyozoea! Walisema tupige kura, tumepiga na ameshinda, apewe haki yake sasa
Umeonaee mkuu, basi Kama walijua wizkid ni bora wasingeweka kipengele cha kupiga kura, mtvema upuuz mtupu
 
Nenda hii post kwenye page ya facebook ya mtvema wamemjibu jamaa aliyewauliza sio unaandika tu hata ushahindi hauna!! View attachment 431124
Unajua nyie watu mnatakiwa kuwa more smart than that! Hicho mnachosema wamemjibu jamaa ilikuwa tarehe 07 wakati mshindi ametangazwa na wao wenyewe tarehe 06... ni sawa na baada ya JPM ameshatangazwa kuwa Rais halafu mashabiki wa EL wanawasumbua NEC kutaka kufahamu rais halali ni nani... halafu NEC wakisema EL ndo rais ndo mtu ulitilie maanani hilo jibu?

MTV EMA walishamtangaza WizKid lakini mkawa mnajazana kwenye kila page ya MTV... mlitaka mjibiwe nini sasa zaidi ya kuambiwa kwamba wote wameshinda lakini mmoja as local na mwingine worldwide wakati huyo wa worldwide ndo huyo huyo ambae walishamtangaza kwamba ndo Best Act Africa!
 
Hujaeleweka hata kidogo.. Kama kura sizingekuwa na nafasi then wasingesema tupige. Kwa akili timamu kabisa iyo ipo wazi kuwa king kiba kafanyiwa figisu kama mlivyozoea! Walisema tupige kura, tumepiga na ameshinda, apewe haki yake sasa
Nani kakuambia kura hazina nafasi? Umesoma utaratibu wa kura upo vipi?! Si miezi kadhaa tu iliyopita Diamond alikuwa anaburuza kwa kura BET? Hata mwaka juzi Diamond aliwaacha watu kwa mbali kupitia kura... hata kama upigaji kura bado kuna utaratibu wake!
 
Back
Top Bottom