Hivi sasa viroja! Hadi jana Kiba alikuwa anaonekana ndo mshindi wakati Mshindi alishatangazwa tangia juzi??!Jana Asubuhi
Ukiingia ktk website ya MTVEMA ukiclick winners, Alikiba ndiye aliyeonekana Mshindi, Mwenye ICON ya kushinda.
Halafu ngoja tuwasemee hawa Sauti Sol kwa King... yaani pamoja na kufanya nae collabo lakini bado anatambua ushindi wa WizKid??!! Ina maana haoni wenzie tunavyoendelea kulia lia??
Jecha Salim Jecha anawahusu... kumbe mlitaka kujitangazia ushindi wenyewe wakati wenye wajibu huo ni MTV!!!!Ishu ikaja mbona alikiba anaonekana kashinda, au yupo ktk list ya winners kwa nini hajapewa??? Wakati wenzie wote walipewa??
Hakina Mshindi vipi wakati Mshindi alishatangazwa tangia juzi?? Angalia hapo juu... hata colleagues wa Kiba, yaani Sauti Sol, walishatoa pongezi za mshindi wa hiyo category tangia juzi!!!!Hilo ndilo lililoleta usumbufu kwa Mashabiki, na hata sasa ukiingia website yao MTVEMA ni Kipengele cha BEST AFRICAN ACT tu ndiyo kinaonekana hakina Mshindi
Assumptions with no evidence!! Hebu tuone website ya MTV ilikuwa inasema nini for Korea:Kwa Kumbukumbu nzuri, Alikiba alishinda wale MTVEMA wakashangaa imekuwaje kashinda wakati hata MTVMAMA hakupata hata mmoja??? wakawauliza MTVBASE/MTVMAMA kuhusu ushindi huo, hapo ikabidi MTVMAMA waseme anayestahili kuwa BEST WORLD WIDE ACT NI WIZKID, Lakini tatizo likaja Wiz hawezi kupata hiyo mpaka awe ameshinda BEST AFRICA ACT
Nani alitangazwa Best Worldwide Act?
Kwahiyo madai yako kwamba kwavile WizKid asingeweza kuwa Best Worldwide Act bila kuwa Best African Act ni madai yasiyo na msingi manake hao jamaa wamechukua hiyo tuzo bila kuwa Best Korean Act!
Team Kiba mnatia aibu... mnadiriki kujihalalishia kuwa manyani wakati issue ni nyinyi wenyewe kushindwa kufahamu hata mambo madogo!!! Majority mnadhani MTV Base Africa hawakuwa na wajibu wa kumtangaza winner huku mkidhani mwenye wajibu huo ni MTV EMA!!!Ndiyo hapo unakuja kukutana na WAAFRIKA KUITWA NYANI, MTVBASE wakajifanya kimbelembele kumtangaza wiz kid
Angalia hapo juu... Winners kutoka nchi na regionals mbalimbali wametangazwa na local MTV channels na sio MTV EMA! Local MTV Channel kwa Africa ni MTV Base Africa... wao wamefanya kilichofanywa na wengine wote! Pamoja na mifano ya hapo juu; wengine hawa hapa:
Mshindi wa Spain huyo, hakutangazwa na MTV EMA bali na MTV Espana
Mshindi wa Denmark huyo, hakutangazwa na MTV EMA bali na MTV Denmark!!
Mshindi wa Uholanzi huyo, hakutangazwa na MTV EMA bali na MTV Netherlands.
So, again, madai yenu kwamba MTV Base Africa wamefanya kazi isiyo ya kwao ni madai yasiyo na msingi wowote!!!!
Team Kiba ndo mnajifanya hamjaelewa...Mpaka sasa MTVEMA hawajaeleweka,
Millard Ayo is smart guy... bado anayakumbuka ya Maalim Seif na Salum Jecha! Asingeweza ku-post kitu ambacho hakijatangazwa officially!!!na MILLARD AYO wakati anaposti ktk Mtandao wake alijua kabisa, ktk ile list ikabidi asiripoti kipengele cha Best African Act kwa sababu kilikuwa kinamwonesha ALIKIBA Mshindi wakati MTVBASE walishamtangaza wizkid.
Let's take a break kisha tupitie MTV EMA Standard Voting Rules zinasemaje:
The Best Local Act category gives viewers and fans to vote for the Best Local Act in each of 32 separate countries/regions, as outlined on the Website/App, and such categories may be referred to locally by names such as "Best Dutch Act", "Best Belgian Act", etc. Voting for the Best Local Act category has two phases:
- Phase 1: Pre-nomination.
- Phase 2: Final Voting: In this phase you will be able to vote for the Best Local Act nominees in any participating country/local region. Local winners from each country/local region will be announced online on 6 November 2016...
Tuendelee!!
Uamuzi wa kumtangaza Mshindi upo vipi? MTV EMA hawa hapa tena:
The total number of votes submitted during the Voting Period for the "Nominees" in each of the eligible categories will be tabulated by MTV EMA and the "Nominee" with the most votes in its applicable category, as determined by MTV EMA, will be declared the winner of such category. If, for any reason, this voting process is interrupted for any reason, is found to have been tampered with in any way, or for any other reason that MTV EMA believes in its sole discretion to be reasonably necessary, MTV EMA reserves the right to select the winners at its discretion and may take into consideration the number of votes received by a Nominee up until the time of the interruption or cancelation of the voting process.
Lini na kupitia wapi Kiba alikuwa declared kwamba ni winner kama si kwamba mlitaka kujitangazia ushindi wenyewe?
Tuendelee!!
Wala hakuna cha scandal wala nini na ndio maana ingawaje winners wametangazwa tangia juzi usiku, ni Team Kiba peke yake ndo wanalalamika... Team wale wale ambao walilia lia kwenye karibu kila tuzo including show ya Mombasa kwamba wamezimiwa mic...!Hii ni Scandal kwa MTVEMA iliyosababishwa na MTVBASE.
MSHAZOELEKA!!!
Waliopata kuonesha dharau za wazi kwa King ni wale ambao walipata kusema: "Go tell that man to leave the stage in less than two minutes or else we will physically get him out of the podium...."Nimechukia sana namna watu wanavyomzarau Alikiba