Alikiba amfananisha Diamond na "Mwanamke"

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
1,119
Reaction score
1,095
Ikiwa leo ni siku maalumu kwa ajili ya mahojiano ya kiba pale mawingu (clouds) media, wenyewe wanakwambia ALIKIBA DAY. Baadhi ya maswali aliyoulizwa ni jinsi alivosalimiana na hasimu wake mkubwa Diamond Platnumz kwa kumgeuzia kiganja cha mkono, hakusita kusema kila mtu anasalimiwa kwa style yake. Akimanisha utofauti uliopo pindi unaposalimiana na mwanamke au mwanaume.
 
Ogopa sana mtu anayekuonyesha upendo kwa ajili ya kumkomoa mtu fulani. Hata mm nitafurahi kama Diamond akiwa kimya, huu ni upepo utapita hautachukua hata wiki.
Yeah ndo kitu cha msingi. Asitie kabisa neno lolote hata kuachia wimbo wowote kutoka kwenye lebel yake. Hapo ndo ataonyesha ukomavu kwenye sanaa.
 



Mmemnukuu vibaya ,itakua amemaanisha wanawake Uwa wanasalimiwa kwa kukumbatiwa na wanaume Uwa wanasalimiana kwa kupigana mabega
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…