Alikiba amfananisha Diamond na "Mwanamke"

Alikiba amfananisha Diamond na "Mwanamke"

Mmemnukuu vibaya ,itakua amemaanisha wanawake Uwa wanasalimiwa kwa kukumbatiwa na wanaume Uwa wanasalimiana kwa kupigana mabega
wanafby makusudi tu hakuna uhusiano wowote wa hio tweet na hcho watu wanachojaribu kukikuza
 
Fid q fact'hawaamini kwenye kuunda diamond na kiba ili wawe wawil, wanachoamin ni kimshusha mmoj ili mwingine awe dili
 
we uhisi katoa jibu la utata makusudi? kwani angejibu straight tu ingekuaje...hata angetudanganya tu kwamba nilimpa vile mkono kwa kuwa sekunde chache nilijichokoa pua kwa mkono wa kulia,nikaona sio ustaarabu kunshikisha jamaa magaga ya pua..ndo nikaona niugeuze kiaina.

Kwa wastaarabu,mara nyingi mtu unapompa mkono kwa kuugeuza basi mkono sehemu ya mbele huwa inakuwa chafu au ina kitu ambacho huwezi kukiachia kwa wakati huo...sasa Kiba hakuwa na hizo sababu,sasa unataka kauli yake tuitafsiri vipi na wakati ye mwenyewe kaulizwa swali hlf anazunguka tu bila ya kutoa jibu la moja kw moja? acha kutetea ujinga wakati mwngine aloo
.
sawa mkuu
 
Back
Top Bottom