Ummu Maryam
Senior Member
- Nov 28, 2017
- 108
- 66
HaweziHivi Alikiba hawezi kung'aa ama kuonekana yeye kama yeye pasipo kutajwa Diamond?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaweziHivi Alikiba hawezi kung'aa ama kuonekana yeye kama yeye pasipo kutajwa Diamond?
Ni kweli au umeediti?..Wcb wamejipanga sana...View attachment 773846
Alikiba anatembelea nyota ya diamondHawezi
we uhisi katoa jibu la utata makusudi? kwani angejibu straight tu ingekuaje...hata angetudanganya tu kwamba nilimpa vile mkono kwa kuwa sekunde chache nilijichokoa pua kwa mkono wa kulia,nikaona sio ustaarabu kunshikisha jamaa magaga ya pua..ndo nikaona niugeuze kiaina.ni kwamba IQ za watu humu ni ndgo sana au kuendekeza upuuzu,io kauli ya kiba na kumfananisha dai na mwanamke vnahusiana vp,heri ungemtafta kumuulza sio kumlisha tafsiri mtu..
Asante may be atakuelewawe uhisi katoa jibu la utata makusudi? kwani angejibu straight tu ingekuaje...hata angetudanganya tu kwamba nilimpa vile mkono kwa kuwa sekunde chache nilijichokoa pua kwa mkono wa kulia,nikaona sio ustaarabu kunshikisha jamaa magaga ya pua..ndo nikaona niugeuze kiaina.
Kwa wastaarabu,mara nyingi mtu unapompa mkono kwa kuugeuza basi mkono sehemu ya mbele huwa inakuwa chafu au ina kitu ambacho huwezi kukiachia kwa wakati huo...sasa Kiba hakuwa na hizo sababu,sasa unataka kauli yake tuitafsiri vipi na wakati ye mwenyewe kaulizwa swali hlf anazunguka tu bila ya kutoa jibu la moja kw moja? acha kutetea ujinga wakati mwngine aloo
King kiba yupo sahihi kutokana na kazi ya sanaa.we uhisi katoa jibu la utata makusudi? kwani angejibu straight tu ingekuaje...hata angetudanganya tu kwamba nilimpa vile mkono kwa kuwa sekunde chache nilijichokoa pua kwa mkono wa kulia,nikaona sio ustaarabu kunshikisha jamaa magaga ya pua..ndo nikaona niugeuze kiaina.
Kwa wastaarabu,mara nyingi mtu unapompa mkono kwa kuugeuza basi mkono sehemu ya mbele huwa inakuwa chafu au ina kitu ambacho huwezi kukiachia kwa wakati huo...sasa Kiba hakuwa na hizo sababu,sasa unataka kauli yake tuitafsiri vipi na wakati ye mwenyewe kaulizwa swali hlf anazunguka tu bila ya kutoa jibu la moja kw moja? acha kutetea ujinga wakati mwngine aloo
unasalimiana mkononi na kila mtu JAMAA NASKIA ANATUPIA MAJINIIkiwa leo ni siku maalumu kwa ajili ya mahojiano ya kiba pale mawingu (clouds) media, wenyewe wanakwambia ALIKIBA DAY. Baadhi ya maswali aliyoulizwa ni jinsi alivosalimiana na hasimu wake mkubwa Diamond Platnumz kwa kumgeuzia kiganja cha mkono, hakusita kusema kila mtu anasalimiwa kwa style yake. Akimanisha utofauti uliopo pindi unaposalimiana na mwanamke au mwanaume.View attachment 773373
Ang'ae mara ngapi?Hivi Alikiba hawezi kung'aa ama kuonekana yeye kama yeye pasipo kutajwa Diamond?
Show zenyewe zipi?Pale unapozimwa ili ufunikwe na asiyeweza,
Cha ajabu wanampa promo lakini kwenye show nammeza.
Mwisho wa kunukuu.
Umeshajua. Na lengo limeshatimiawala sikuwa najua kuwa kiba alifanyiwa interview!
Hawa furahi kutengeneze diamond na kiba wawili wanachotaka ni kumshusha mmoja ili mwingine awe dilikuna mstari FID Q aliuimba kwenye fresh kuhusu media flan kupromote hili beef anaeukumbuka
Hakuna beef mbona wasafi TV wanacheza ngoma za Kiba na Dimpozzkuna mstari FID Q aliuimba kwenye fresh kuhusu media flan kupromote hili beef anaeukumbuka
Izo ni propagandakuna mstari FID Q aliuimba kwenye fresh kuhusu media flan kupromote hili beef anaeukumbuka
Soma hiyo tweet kwa umakiniSasa hapo alipomfananisha na mwanamke wapi?? Nyie mashabiki maandazi ndo mnaochochea ugomvi usokuwa na maana