Alikiba amfananisha Diamond na "Mwanamke"

Alikiba amfananisha Diamond na "Mwanamke"

Domond hawezi kukaa kimya leo insta kutachafuka ameliamsha dudeeee
 
Acha kuposha Jamii ingia Youtube kwenye account ya Clouds fm usikilize vizuri....mashabiki mtakuja kufanya mashabiki wachomane visu
 
Ila clouds wanahaingaika sana si walikua wanambeba aslay hawa saiv wamegeukia kwa kiba na bure bure wanaitangaza biashara ya msauzi kisa kupromote bifu na wasafi aiseee
 
Wakifanya hivo itapendeza sana.
Mimi mwenyewe naomba avumilie hata wiki inatosha.CMG,Ommy na Kiba walihitaji view milion 3 youtube nyimbo ya yanje lkn wamefeli na amini hata hili watafeli tu na ndio maana wameamua kuweka nguvu kubwa.
 
Ila clouds wanahaingaika sana si walikua wanambeba aslay hawa saiv wamegeukia kwa kiba na bure bure wanaitangaza biashara ya msauzi kisa kupromote bifu na wasafi aiseee
Adui wa adui yako ni rafiki yako. Hiyo ndo nature yetu sisi binadam.

Aslay wameona upepo umezima so wamehamia kwa king kiba.

"Wanapromote beef wakidai wanakuza mziki"
 
Back
Top Bottom