kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
- Thread starter
- #101
Hizo hzo za birthday...Show zenyewe zipi?
Za birthday huko ughaibuni?
Hebu tupia link ya show japo moja huko mbele niione
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo hzo za birthday...Show zenyewe zipi?
Za birthday huko ughaibuni?
Hebu tupia link ya show japo moja huko mbele niione
wanafby makusudi tu hakuna uhusiano wowote wa hio tweet na hcho watu wanachojaribu kukikuzaMmemnukuu vibaya ,itakua amemaanisha wanawake Uwa wanasalimiwa kwa kukumbatiwa na wanaume Uwa wanasalimiana kwa kupigana mabega
media zinapromote bifu zinadai zinakuza mziki ...inaitwa bongo hip hopekuna mstari FID Q aliuimba kwenye fresh kuhusu media flan kupromote hili beef anaeukumbuka
.we uhisi katoa jibu la utata makusudi? kwani angejibu straight tu ingekuaje...hata angetudanganya tu kwamba nilimpa vile mkono kwa kuwa sekunde chache nilijichokoa pua kwa mkono wa kulia,nikaona sio ustaarabu kunshikisha jamaa magaga ya pua..ndo nikaona niugeuze kiaina.
Kwa wastaarabu,mara nyingi mtu unapompa mkono kwa kuugeuza basi mkono sehemu ya mbele huwa inakuwa chafu au ina kitu ambacho huwezi kukiachia kwa wakati huo...sasa Kiba hakuwa na hizo sababu,sasa unataka kauli yake tuitafsiri vipi na wakati ye mwenyewe kaulizwa swali hlf anazunguka tu bila ya kutoa jibu la moja kw moja? acha kutetea ujinga wakati mwngine aloo