kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Ikiwa leo ni siku maalumu kwa ajili ya mahojiano ya kiba pale mawingu (clouds) media, wenyewe wanakwambia ALIKIBA DAY. Baadhi ya maswali aliyoulizwa ni jinsi alivosalimiana na hasimu wake mkubwa Diamond Platnumz kwa kumgeuzia kiganja cha mkono, hakusita kusema kila mtu anasalimiwa kwa style yake. Akimanisha utofauti uliopo pindi unaposalimiana na mwanamke au mwanaume.