mswaki mbuyu
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 708
- 445
Ujasiriamali ndo mpk aimbe pornmusic?Naunga mkono hoja kwa 100%, Ali Kiba ni mwanamuziki kweli kweli, na Diamond ni mjasiriamali mzuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujasiriamali ndo mpk aimbe pornmusic?Naunga mkono hoja kwa 100%, Ali Kiba ni mwanamuziki kweli kweli, na Diamond ni mjasiriamali mzuri.
Ubunifu upi huo alionao Mond zaidi ya pornmusic anaofanya?Uchambuzi wa wa Tz unashangaza sana...
Mpira: yule ni striker mzuri ila hajui kujiposition...
Mziki: Anajua kuimba ila sio mbunifu / mjasiriamali.
Sema simple tu...
Diamond ni bora kuliko Alikiba.
Haaland ni bora kuliko Nunez
Nashangaa wanakazania ujasiamali wkt daily anabuni vijimaneno vya matusi watoto wanakopi kuimbaHajasema hajui kuimba kabisa ilaa kamaanisha alikiba anajua kuimba zaidi kuliko diamond ila sio mjasiriamali na mbunifu mzuri kuliko mond
Kwahiyo mkuu yatapita na Zuwena zina matusi?Nashangaa wanakazania ujasiamali wkt daily anabuni vijimaneno vya matusi watoto wanakopi kuimba
Huo ni mtazamo wako mkuu na ninauheshimu. Ukweli ni kuwa Alikiba ni mwanamuziki aliyekamilika na Diamond ni muimbaji/mburudishaji tuUjasiriamali ndo mpk aimbe pornmusic?
huna adabu mara 13!Huna Akili.
Tuzo ananunua coz Ana mapesa mingiIla ulivosema diamond hajui kuimba nimekushangaa kama wangekuwa hajui kuimba nyimbo zake zisingekuwa zinauza sana, asingukuwa ana win tuzo kubwa
Samahani mkuu,Ali Kiba anajua Kuimba ila hana Ubunifu na Mvuto kwa hata tu Mashabiki wake.
Diamond hajui Kuimba ila ni Mwerevu, Mbunifu, Mtafiti, Mjanja na ni Mtu wa Kujichanganya hivyo ataendelea kuwa juu Kimuziki, Kiutajiri na Kiumaarifu kuliko Ali Kiba.
Hili sio suala na mtizamo Diamond yupo mbele zaidi ya Kiba namba zinaongea..ana nyimbo zaidi ya 10 YouTube 10+ million zimetazamwa..lkn ukakasi wa nyimbo zake hili hulisikii?..mtoto wako qje akuimbie napaka mate nyoka azame pangoni utaridhika?Huo ni mtazamo wako mkuu na ninauheshimu. Ukweli ni kuwa Alikiba ni mwanamuziki aliyekamilika na Diamond ni muimbaji/mburudishaji tu
Kitu kidogo unashindwaKwahiyo mkuu yatapita na Zuwena zina matusi?
Mbona hujibu swali mwaka jana katoa ngoma ya Zuwena na Yatapita je zina matusi?Kitu kidogo unashindwa
Bado ni mtazamo wako tu, na unaweza kuwa sahihi kabisa au la.Hili sio suala na mtizamo Diamond yupo mbele zaidi ya Kiba namba zinaongea..ana nyimbo zaidi ya 10 YouTube 10+ million zimetazamwa..lkn ukakasi wa nyimbo zake hili hulisikii?..mtoto wako qje akuimbie napaka mate nyoka azame pangoni utaridhika?