Alikiba amrushia kijembe Diamond Platinumz

Alikiba amrushia kijembe Diamond Platinumz

Uchambuzi wa wa Tz unashangaza sana...
Mpira: yule ni striker mzuri ila hajui kujiposition...
Mziki: Anajua kuimba ila sio mbunifu / mjasiriamali.
Sema simple tu...
Diamond ni bora kuliko Alikiba.
Haaland ni bora kuliko Nunez
Ubunifu upi huo alionao Mond zaidi ya pornmusic anaofanya?
 
Hajasema hajui kuimba kabisa ilaa kamaanisha alikiba anajua kuimba zaidi kuliko diamond ila sio mjasiriamali na mbunifu mzuri kuliko mond
Nashangaa wanakazania ujasiamali wkt daily anabuni vijimaneno vya matusi watoto wanakopi kuimba
 
Ali Kiba anajua Kuimba ila hana Ubunifu na Mvuto kwa hata tu Mashabiki wake.

Diamond hajui Kuimba ila ni Mwerevu, Mbunifu, Mtafiti, Mjanja na ni Mtu wa Kujichanganya hivyo ataendelea kuwa juu Kimuziki, Kiutajiri na Kiumaarifu kuliko Ali Kiba.
Samahani mkuu,

Hivi copy and paste ni ubunifu, ujanja, utafiti au werevu?
 
Huo ni mtazamo wako mkuu na ninauheshimu. Ukweli ni kuwa Alikiba ni mwanamuziki aliyekamilika na Diamond ni muimbaji/mburudishaji tu
Hili sio suala na mtizamo Diamond yupo mbele zaidi ya Kiba namba zinaongea..ana nyimbo zaidi ya 10 YouTube 10+ million zimetazamwa..lkn ukakasi wa nyimbo zake hili hulisikii?..mtoto wako qje akuimbie napaka mate nyoka azame pangoni utaridhika?
 
Bado ni mtazamo wako tu, na unaweza kuwa sahihi kabisa au la.
 
Back
Top Bottom