Alikiba Ashinda tuzo kubwa za Nzumari Awards za nchini Kenya

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Habari wakuu!
Alikiba maarufu kama KingKiba fundi na funguo ya Bongo flava, Ameshinda Tuzo kubwa za nchini Kenya (Nzumari Awards) kama Best Male Artist na song of the year "Chekecha"

Katika Category hizo, Alikiba alikuwa akishindana na wasanii wengine kutoka East Africa ikiwemo hasimu wake Diamond Platinumz.

Note: Asante kwa fans kwa support mliyotoa, zaidi tujue Mziki wetu ni mkubwa kuliko tuzo.

KUJUA KAZI RAHA SANA
KUTUNAWACHEKA KWA DHARAU hehehehe
 

Attachments

  • IMG-20151212-WA0004.jpg
    39.9 KB · Views: 1,037
  • IMG-20151212-WA0003.jpg
    35.6 KB · Views: 967
Acha kudanganya watu wewe, Diamond hakuwepo kwenye uchafu huo.. Ali alikuwa anashindana na wakina shetta, dimpoz.. hata Sauti sol waliwatoa wasishindane na watoto.

Diamond kuanzia sasa huwezi kumkuta kwenye vituzo uchwara kama hivyo, KTMA, wala TUZO ZA WATU...

AAAH JE UTANIPENDAGAAA?
 

Punguza povu mkuu! Leo ni siku ya Asfa Awards, subirin tuwatumbue jipu lingine, je utatupenda kwi kwi hehehe, tunawacheka kwa dharau
 
Ngojeni Nchi mbalimbalimbali barani Africa na nje ya bara Afrika,tutasikia kuhusu Diamond Platnumz.Si tulimnyooshaga #Pryanga Chopra.Now Diamond msanii wa Ulimwenguni kote.
UTANIPENDAGA??
 

Iyo tuzo au kikombe cha ligi ya mbuzi
 
Kwanza hizi tuzo sio kubwa hata...ww jiulze wasanii kama sauti sol hawapo katika tuzo za nchini kwao....hzo tuzo au midori
 
Kucheka kwa dharau sio solution,cha mcngi asibweteke najua muziki anauweza na anaujua.big up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…