Alikiba atoa tamko , awataka mashabiki waache kumtukana Wizkid aseme yeye ni shabiki wa Wizkid

Kafanya jambo la kistaarabu na ndivyo Watanzania tulivyo
 
Ali Kiba anahangaika sana kwenye social media kupata kick...
.
Aboreshe muziki wake na maonyesho yake badala ya kulalama tu mtandaoni.
Kick gam unayoongelea wewe, Ya pikipiki auu?

Kwa hali iliyokua inaendelea ni bora atoe tamko tu, Nimeona kuna jamaa kamtus wizkid akasema ametumwa na kiba,

Aisee wizkid alichoandika ni - f**k u tanzanian
 
Yeye aendelee kujitekenya tu na kucheka mwenyewe,sisi tushapita level hizo,sijui kulilia tuzo,sijui kuomba msamaha,sijui nini ona level hizi.
Acha maneno yako wewe yasiyokuwa na kichwa wala miguu,umepitia levo gani wewe???levo yako ni apa apa jf kukoment ujinga eti "sisi tushapita izo levo" we ndo nani sasa,zari au queen Doreen???
 
acha tu nikasomee ujinga ila watu mnao kaa kutazama mistakes za watu ili mpate la kuongea ni ngumu kufanikiwa
Endelea kuamini ujinga wako na kibakuli wenu, nyinyi washabiki wake Ndio mnamtia ujinga mpaka hajielewi
 
Kick gam unayoongelea wewe, Ya pikipiki auu?

Kwa hali iliyokua inaendelea ni bora atoe tamko tu, Nimeona kuna jamaa kamtus wizkid akasema ametumwa na kiba,

Aisee wizkid alichoandika ni - f**k u tanzanians
Una uhakika hiyo S mwishoni ilikuepo?!
 
Endelea kuamini ujinga wako na kibakuli wenu, nyinyi washabiki wake Ndio mnamtia ujinga mpaka hajielewi
Me cio shabiki na ciongei kishabiki na hata nikiwa shabiki cio kosa ila jifunze kua positive itakusaidia myb kma unataka kuweka UKUTA tu,
 
Me cio shabiki na ciongei kishabiki na hata nikiwa shabiki cio kosa ila jifunze kua positive itakusaidia myb kma unataka kuweka UKUTA tu,
Cio -sio
Ciongei - siongei

Hebu chukua daftari upitie japo kidogo, mitihani imekaribia
 
Huyo ni timu domo hafu kamsingizia kiba tena alivo mjinga hakufta hizo picha kwanza ukute hilo ni fekero la daymond au sallam maana ndo zao hzo
Ila walioanzisha kumtukana wiz kid n team kiba n kiongozi wenu n shilole official akala block kwa wiz kid akawaanajisifia mmetukana hadi kule mtv Halafu nimeshanga meneja wa kiba anamtumia d.m huyo shishi et hongereni tumepata tuzo yetu so inamaana nae alitumwa kukinukisha
 
Huyo shilole kiuno ndo nani mi ndo namuona Leo ngoja nitaenda kumcheck instagram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…