oncogene
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 306
- 157
Atajijua yeye na takataka zake, sisi tunaenda KUTENGENEZA PESA YA MAANA.Kwanza ona hiki kiingilio,kisha fikiria ngapi imeingia Bank.
Mbona unsupported?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atajijua yeye na takataka zake, sisi tunaenda KUTENGENEZA PESA YA MAANA.Kwanza ona hiki kiingilio,kisha fikiria ngapi imeingia Bank.
Kick gam unayoongelea wewe, Ya pikipiki auu?Ali Kiba anahangaika sana kwenye social media kupata kick...
.
Aboreshe muziki wake na maonyesho yake badala ya kulalama tu mtandaoni.
Yeye aendelee kujitekenya tu na kucheka mwenyewe,sisi tushapita level hizo,sijui kulilia tuzo,sijui kuomba msamaha,sijui nini ona level hizi.
KWELI KABISAEnglish ya kuongea ni tofauti na ya kuandika mkuu
acha tu nikasomee ujinga ila watu mnao kaa kutazama mistakes za watu ili mpate la kuongea ni ngumu kufanikiwaUkari =ukali
Hizo shule huwa mnakwenda kusomea ujinga? By ff
Endelea kuamini ujinga wako na kibakuli wenu, nyinyi washabiki wake Ndio mnamtia ujinga mpaka hajielewiacha tu nikasomee ujinga ila watu mnao kaa kutazama mistakes za watu ili mpate la kuongea ni ngumu kufanikiwa
Una uhakika hiyo S mwishoni ilikuepo?!Kick gam unayoongelea wewe, Ya pikipiki auu?
Kwa hali iliyokua inaendelea ni bora atoe tamko tu, Nimeona kuna jamaa kamtus wizkid akasema ametumwa na kiba,
Aisee wizkid alichoandika ni - f**k u tanzanians
Me cio shabiki na ciongei kishabiki na hata nikiwa shabiki cio kosa ila jifunze kua positive itakusaidia myb kma unataka kuweka UKUTA tu,Endelea kuamini ujinga wako na kibakuli wenu, nyinyi washabiki wake Ndio mnamtia ujinga mpaka hajielewi
I gues soUna uhakika hiyo S mwishoni ilikuepo?!
Hebu cheki vizuri halafu ulete mrejesho bossI gues so
I'll be backHebu cheki vizuri halafu ulete mrejesho boss
Makoye geteh- f**k u tanzanians
Cio -sioMe cio shabiki na ciongei kishabiki na hata nikiwa shabiki cio kosa ila jifunze kua positive itakusaidia myb kma unataka kuweka UKUTA tu,
Ila walioanzisha kumtukana wiz kid n team kiba n kiongozi wenu n shilole official akala block kwa wiz kid akawaanajisifia mmetukana hadi kule mtv Halafu nimeshanga meneja wa kiba anamtumia d.m huyo shishi et hongereni tumepata tuzo yetu so inamaana nae alitumwa kukinukishaHuyo ni timu domo hafu kamsingizia kiba tena alivo mjinga hakufta hizo picha kwanza ukute hilo ni fekero la daymond au sallam maana ndo zao hzo
HAkuna 's' Nilipitia vibaya,I'll be back
Mara mia kenda, aliyeandika hapa ndio achukie nafasi ya yule wa Juma Ponda Mali.Atakuwa kaandikiwa na Kidoti.
Huyo shilole kiuno ndo nani mi ndo namuona Leo ngoja nitaenda kumcheck instagramIla walioanzisha kumtukana wiz kid n team kiba n kiongozi wenu n shilole official akala block kwa wiz kid akawaanajisifia mmetukana hadi kule mtv Halafu nimeshanga meneja wa kiba anamtumia d.m huyo shishi et hongereni tumepata tuzo yetu so inamaana nae alitumwa kukinukisha
![]()
Kamcheck Afu uje utuambieHuyo shilole kiuno ndo nani mi ndo namuona Leo ngoja nitaenda kumcheck instagram
Ngoja nikamcheki then I will be backKamcheck Afu uje utuambie