Alikiba atoa tamko , awataka mashabiki waache kumtukana Wizkid aseme yeye ni shabiki wa Wizkid

Acha ulimbukeni, kama msanii katumia busara sana na kafanya jambo la kiungwana na ala kishujaa, kutoa tamko juu ya jambo baya amabalo linaweza kuhusishwa naye. Mbn serikali ikitoa tamko hamsemi imeomba msamaha.... Nlikuona mwelewa kumbe hovyoooo....
Leo tarehe 11/11/2016,kiba kaomba msamaha kwa Wizkid kwa hofu ya kujiharibia kwake na kwa mustakabari wa u-underground wake,kwani bado yupo kwenye harakati za kutoka kimuziki.
 
Kiba kaonyesha ukomavu angekaa kimya ningemuona wa ajabu angefumbia macho hayo matusi.
Kwangu mimi AMEFANYA KITU CHA KIPUMBAVU KUWAHI KUTOKEA CHINI YA JUA.WEWE HUJUI KINACHOENDELEA NDIO MAANA UNASEMA HIVO.
 
Yeye aendelee kujitekenya tu na kucheka mwenyewe,sisi tushapita level hizo,sijui kulilia tuzo,sijui kuomba msamaha,sijui nini ona level hizi.
Mbona mnahangaika na kiba wakat kiba haangaiki na ninyi. Mbona boss wako aliomba msamaha kwa davido.
 
Kama domo na mashabiki wake.
 
Kwa mtu muungwana lazima ange ki clear Yale matusi yaliyokuwa ya naendelea mitandaoni wala haihusiki na umeneja sijui wa mond wala west Africa. Sasa watakaotukana watukane kwa interest zao
WEWE NI MMOJA WA SHABIKI MFUATA MKUMBO,HUNA UNALOLIJUA KAA KIMYA AU ULIZA UAMBIWE WENYE FANI ZETU TUKUAMBIE.
 
Kaforce Kutengeneza Mitimu Sasa Imeanza Kumla.Team Kiba Na Bavicha Wana DNA Za Matusi Mazito Mazito - They So Desperate On Social Media, Hating Every Successful Being
 
Mbona mnahangaika na kiba wakat kiba haangaiki na ninyi. Mbona boss wako aliomba msamaha kwa davido.
Kwa hoja kama hizi usiwe unani quote kwa vile wewe huna hoja, sana sana utaanza kutukana vile ulivyo mweupe kichwani.
 
Hellow simba. Pata soda barid bas. Hayo maneno ya kiba kusema ni mkubwa kuliko wiz kid source yako ni sallam siyo. Hahahahha kiba sijui kwa nini anawapa presha. Hili gazet si mchezo mazee
 
Leo tarehe 11/11/2016,kiba kaomba msamaha kwa Wizkid kwa hofu ya kujiharibia kwake na kwa mustakabari wa u-underground wake,kwani bado yupo kwenye harakati za kutoka kimuziki.
Yess kama domo kwa davido. Ahaha mnataka kiba asitoke na kolabo za wanigeria ili apate tuzo. Nyie vepeeee
 
Kwangu mimi AMEFANYA KITU CHA KIPUMBAVU KUWAHI KUTOKEA CHINI YA JUA.WEWE HUJUI KINACHOENDELEA NDIO MAANA UNASEMA HIVO.
Hahahha mmeshtukiwa, yani ninyi mliweka mambo sawa kwa davido baada ya simba kukosa tuzo channel o leo mnataka king k asiweke mambo sawa? Ohh please.
 
Hellow simba. Pata soda barid bas. Hayo maneno ya kiba kusema ni mkubwa kuliko wiz kid source yako ni sallam siyo. Hahahahha kiba sijui kwa nini anawapa presha. Hili gazet si mchezo mazee
Kwani Na hilo unabishaaa????? Acha kujitoa ufahamu hayaa basi Bisha na Hayoo kuwa ALIKIBA aliwaomba mashabiki wake Wakadai Tuzo sahizi anawakaaaaaa

Huyo sio MNAFIKI?
 
Acha maneno yako wewe yasiyokuwa na kichwa wala miguu,umepitia levo gani wewe???levo yako ni apa apa jf kukoment ujinga eti "sisi tushapita izo levo" we ndo nani sasa,MUME WANGU AU BWANA ANGU
Sichukui mwanamke hasiyejua kuongea na mume wake vizuri.
 
Kaforce Kutengeneza Mitimu Sasa Imeanza Kumla.Team Kiba Na Bavicha Wana DNA Za Matusi Mazito Mazito - They So Desperate On Social Media, Hating Every Successful Being
Hellow team mondi. How do u do!! ( in Wendy's tone) [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…