ALI KIBA NI MNAFIKI...!!!!
Nilisha Sema Sehemu fulani na Hapa ninarudia Tena.....Effect ya Alicho Fanya Alikiba Katika Mziki wake ni Kubwaaaa mnoooo Hapo mashabiki wa Kiba mkubari,mkataeee Effect yake ni kubwa!!!!!
Then Nchi za Afrika nyingi ni tofauti sana na TANZANIA wenzetu ni wadadisi na watafiti ni watu wa kureason Out!! Kuna Shabiki alisema Humu ALIKIBA hategemei Collabo na Mnigeria yeyote wala Wizkid ili atoke Africa!,aKasema hawawezi dhurumiwa kisa kuogopa watasema ukweli lakini LEO naona MSANII wao Kaona Effect ya kinacho Endelea ndo maana kaja kuomba msamaha lakini kinafikiiii sanaaa
UKWELI ni huu....ALI KIBA alishaonesha beef na WIZKID toka kenya aliposema yeye ni mkubwa kuliko wizkid na Ataperfom mpaka wizkid apende Jukwaani....WIZ HANA noma Alipanda jukwaani SINA IMANI KAMA wizkid hiyo kitu atakuwa ameisahau kwa vijimaneno vya kinafiki vya ALIKIBA vya leo kuwa ni shabiki wake! Sidhani kama Mashabiki wa WIZKID wamesahau hio kitu kwa Vimaneno vya kiba vya leo!!!
Kabla hiyo haijaisha akiwa clouds aliwatuma mashabiki wake wakafanye wanayo yafanyaaa Leo anakuja Anawakana na Kusema yeye hao sio mashabiki wake, kweli au yule alie kuwa JAHAZI hakuwa yeye? Huo ni UNAFIKI!!!
Kiukweli hata yeye anatambua ili utoboe AFRIKA NI LAZIMA UFANYE VIZURI NIGERIA UKUBARI UKATAE MZIKI WA AFRIKA NI NIGERIA,kuona hilo leo anakuja kinafiki kuomba msamaha lakini mimi nasema ITS TOO LATE wizkid katukaniwa mama ake,katukaniwa familia yaKe,katukanwa yeye,mashabiki wake watukanwa,Winigeria wametukanwa Sidhani kama WATASAHAU kwa vimaneno vya kinafiki vya ALIKIBA vya leo!!!
Leo hii ALIKIBA aseme ana SHOW nigeria Sijui hata kama watu 200 wataingia kwenye hiyo show sina IMANI wala sina Imani kama VITUO VYa Radio vya NIGERIA vitacheza wimbo wowote wa AliKIBA MAANA hata MI mistari yake alifuta kuonesha uzalendo sina IMANI kama nyimbo za Alikiba zitachezwa NIGERIA!!! YOTE hii ni kukurupuka kuchinja kuku kwa njaa ya siku moja!!!
Waandaji wa TUZO wametukanwa sanaaaa As IF kila binadamu ni PERFECT yale matusi yamehifadhiwaaa MTV nzima wametukanwa kisa ALIKIBAA sidhani kama watasahau kwa vimaneno vya KIBA!!! Leo tupo Hapa Alikiba akija kuwa NOMINATED kwenye tuzo za MTV zozote zileee basi Sijui na kwa mziki wake uleee sijuiii
Alikiba na Mashabiki wake kwa ujumlaaaa walicho FANYA hawawezi kukifuta kwa njia yoyote ile hata ya MSAMAHAA kiasi gani,Sidhani hataa kama Davido atafanya collabo na ALIKIBA KWA alichoona kwa RAFIKI AKE alicho fanyiwa
MATUSI,KEJERI,DHARAU KWA WALIOKUTANGULIA sio njia ya kufanikiwa.....TUZO ni kitu kidogo sanaaaa,Mmeyafanya makubwa now MNAJISAFISHA HAKIKA ITS TOO LATE
JIFUNZENI HATA kwa mond Hata akionewa vipi hawezi act kama mtto wa K/koo
ALIKIBA NA MASHABIKI WAKE NI WASWAHILI SANAAAA......
Mmemdidimiza sanaaa ...... CHUKUENI HIYO TUZO LAKINI MSANII WENU ANAKAZI KUBWA