Alikiba atoa tamko , awataka mashabiki waache kumtukana Wizkid aseme yeye ni shabiki wa Wizkid

"MIMI NI ZAIDI YA WIZKID"KISHA UNAMUOMBA POOOO YA NINI !!!!!!!!!! UNAHOFIA NINI WAKATI WEWE NI ZAIDI YAKE ..................HILO JAMBO HATA HARMONIZE HAWEZI KULIFANYA KWA HUYO MTU.
Yess, a quote from Sallam. Mnapenda kumlisha maneno the King. Weka sauti hapa akiongea hayo maneno.
 
NI AIBU SANA KWA MSANII UNAYEITWA "KING" NA MAZOMBI YAKO KULILIA TUZO,KITU AMBACHO HATA HARMONIZE HAWEZI KUKIFANYA.
Kama ninyi mlivyolilia za davido but anyway davido alipata kwa haki ndiyo maana hakunyang'anywa hahahhahahaha.
 
Acha chuki za kishamba tatzo la tz mnachuki za kishenzi sana halafu sioni zinawapa faida gani. yaani nawashanga sana na mtu ukimchukia mtu ambae hana tatzo na ww unafaidika nn. ndio maana tutabak kua wa kijinga tu
Hakuna cha chuki..labda kama wewe unaangalia kwa karibu,ila kama unaangalia na upande wa pili basi utauona unafiki ndani yake..

Hiyo team yake kila siku inatukana watu hususan Diamond na familia yake,mbona hajasimama Allykiba akakemea hilo jambo?!kuna page huko insta inaitwa Shilolekiunoofficial inatoa matusi mfano hakuna!na mbaya zaidi mpaka seven Mosha na uongozi wote wa Allykiba wanampa sapoti na wanampongeza!!

kuna ustaarabu hapo?!hata Wema tu anajua kuidhibiti team Yake...team wema mpaka uwachokoze ndio watakutukana,ila nyie washenzy wa kiba baadhi yenu hamuhitaji kuchokozwa!!
 
Hapo kajishusha nini sasa?
Ustaarabu kitu cha bure
Bosi anuniwi wewe Wizkid ni msanii mkubwa sana duniani alikiba mwenyewe ni shabiki
Uongozi wa alikiba wenyewe wanajua alikiba hana chembe ya kumvimbia Wizkid
 
Bosi anuniwi wewe Wizkid ni msanii mkubwa sana duniani alikiba mwenyewe ni shabiki
Uongozi wa alikiba wenyewe wanajua alikiba hana chembe ya kumvimbia Wizkid
Ndo nimemjibu huyo jamaa hapo juu
 
Ndio mungemwambia kiba HUSIPATE TABU YA KUJITETEA KWASABABU WANAOFANYA HIVO SIO "WATU WAKO" LAKINI KWASASA NDIO IMESHAANDIKWA KWENYE KUMBUKUMBU KUWA KIBA ALISHAWAHI KUOMBA MSAMAHA KWA WIZKID NA ALISHAWAHI KULILIA TUZO.

mkuu kumbe kiingereza kinakupa tabu.

Kiba ameandika kuwa hao wanaotukana sio fans wake.
 
baada ya kuipat tuzo ndo anasem ivo,kwanin hakuwakataz mashabik kumtkan wiz kabl hajarudisha tuzo?
 
Anabembeleza collabo. Anyone with common sense (even Wizkid himself) can see nigga faked the apology just to clear his name
 
baada ya kuipat tuzo ndo anasem ivo,kwanin hakuwakataz mashabik kumtkan wiz kabl hajarudisha tuzo?
Na mashabik wake wamewatukana sana MTV..mboa hajawaomba msamaha mtv?!
kwamaana nyingine anakubaliana na matusi wanayotukanwa watu wengine.
Kama angekuwa mstaarabu basi angewaomba msamaha watu wote waliotukanwa na Teamyake kwa tukio hili.
 
Hapana sasa kama unajua kuindika unashindwaje kuitamka....hapa kidot kauhusika tu....si kamesomea Royola kabinti kale!?
Amesoma udsm pia , ila nadhani ni manager wake seven mosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…