McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,070
- 12,596
zamani wakati niko home nilikuwa na mentality hio baada ya kuanza kushika hela na mishe mishe kugrow naweza enda mpaka kwenye meeting nimepiga tshirt na jeans and nobody careHatujazungumzia uwezo kifedha..Issue ni Venue!
Waangalie wasanii wa marekani siku wameitwa White House!...wengi wao wanavaa smart wear
Casual wear kila mtu anavaa
Mark is one of the richest but has the same style for casual