Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Wewe ni me au ke?Humu ndani hakuna anaejua uhalisia wala jinsia yangu, sasa nashangaa kila mtu anataja jinsia ambayo yeye anahisi, na by the way a don't take serious couz sipo humu kutangaza jinsia yangu. Kwahyo wee utakavyo amini kulingana na maneno ya watu bas juu yako.