Alikiba, Harmonize na Diamond meza moja Ikulu

Alikiba, Harmonize na Diamond meza moja Ikulu

Sizan kama kuna uingiliano kwenye kuvaa na kuwa na pesa unaweza kuwa na hela na usjue kuvaa kwaiyo tulia mkuu..nilicho kuwa namaaanisha kuhusu Ali n kwamba bwana Alli ni msanii mkubwa sana kuna time hatakiwi kujieka ivyo kawaida kawaida
Unaona kawaida lakini unakuta ile kofia yake tu inalipa kodi ya hicho kichumba chako ulichopanga uswazi kwenu huko.
 
Mwanaume mwenzako unamsifia kuwa romantic , aisee inasikitisha sana.
Poleeeeeeeeh saanaaaah mpwaaaaaa, najua unateseka mnoooh, hebu meza paracetamol afu lala. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana nimesema some time mkuu..jana alivaa sawa na tukio lilivo kuwa linaitaji ila leo kavaa kama kaenda kudoea wal kwenye shuhur au msiba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bestie
Wewe ni mwanaume kama wakulungwa wanavyosema ?
Maana siku zote huwa najua wewe ni mwanamke.
Humu ndani hakuna anaejua uhalisia wala jinsia yangu, sasa nashangaa kila mtu anataja jinsia ambayo yeye anahisi, na by the way a don't take serious couz sipo humu kutangaza jinsia yangu. Kwahyo wee utakavyo amini kulingana na maneno ya watu bas juu yako.
 
Back
Top Bottom