Alikiba kakumbwa na nini mbona naona anajadiliwa sana leo?

Alikiba kakumbwa na nini mbona naona anajadiliwa sana leo?

Genio the great

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
298
Reaction score
842
Habari za muda naomba kufahamu kama Kuna mwenye taarifa yoyote inayomuhusu alikiba

Nimekuta mahali wamepost tumuombee na kwingine tena hivyohvyo kwa anayefahamu chochote kumuhusu, kuhusu hizi taarifa.

Asante.

images.jpeg
 
Labda ule unabii uliotolewa na manabii wawili wa nchi mbili tofauti kwamba kuna mwanamuziki mkubwa wa Tanzania ataenda zake. Lakini hawakumtaja ni nani, ila wote walisema ni mwanamuziki mkubwa sana. I am not sure lakini I am just guessing kwamba labda ndio sababu ya watu kutaka aombewe.
 
Kama alipeana mkono na almasi siku ya ifutari, amekwishaa
 
Back
Top Bottom