Alikiba kakumbwa na nini mbona naona anajadiliwa sana leo?

Alikiba kakumbwa na nini mbona naona anajadiliwa sana leo?

Siku hizi wamekuwa na tamaa za vyeo vya ki siasa. Hapo itakuwa kuna Jimbo analisikilizia. Nimemsikia hata yule wa kongo, koffi, anasema, anataka uongozi hata asilipwe lakini apate nafasi tu ya kuwatumikia wananchi wake kisiasa.
Yule ana shule kichwani,ni economist mzuri tu..sasa hizi takataka zetu huku bongo
 
Kiba kuwa strong, sio kwa vile nabii kasema sijui nini..ukipata mafua tu unaishia kuumwa,,,ni mind tu ina play tricks on you
 
Back
Top Bottom