Alikiba kazubaa sana

Alikiba kazubaa sana

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inakuaje unakwazika na maisha ya mtu

Sent from my TECNO LB6 using Tapatalk
 
Huyu jamaa namuelewaga sana anavyoimba, lakini kazubaa sana, anashindwa hadi na wakina Meja kunta, hajui kujiuza ndio maana hata deal za matangazo hapati, huyu jamaa yupoyupo tuu.

Kama mziki hawezi si bora akauze hata mitumba

Sent using Jamii Forums mobile app

Ali Kiba ni mwanamuziki. Kazi ya mwanamuziki ni kuimba. Wewe mwenyewe unamkubali sana anavyoimba. Hii inaonyesha kwamba kazi yake (ya kuimba) anaifanya vizuri!
Hayo mengine uliyoyasema ni matatizo YAKO mkuu, sio yake maana yeye kazi yake anaifanya vizuri na ameridhika.
 
Back
Top Bottom