Alikiba kazubaa sana

Alikiba kazubaa sana

Yooooo yeebaba hatupendi show off mashabiki zake ndo maana ata video YouTube hutuna mda wa kuiangalia.

(Yeebaba anashindana na kondeboy)*
 
Umemkumbukia nini?


Maana kesho akiachia wimbo utaupenda, utasahau

Atapotea


Ataachia wimbo tena......


Ndio maisha yake, mswahili halisi karidhika

Diamond ni mswahili mzungu he is greedy anajua hela


Tatizo ni nini? Kutaka wafanane?
Wamwache kiba na maisha yake.
 
Mumuache kiba na maisha yake jamani Kwan mnaumia Nini? Khaaaaaah nakereka na tabia ya ufukunyuku mbaya zaidi ni wanaume wanafanya hivyo lol, mtathimini hicho mnachokiweka ndani ya boxer, km kinaendana na ufukunyuku mxieeeeeeeew [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom