Alikiba kuilaani rasmi bongo flava September

Samahani,kingkiba anakulipa tsh ngapi?anatakiwa akuongeze posho!
 
King king king[emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Kiboko ya Wizkid, Fundi na Master wa game ya mziki wa Africa "Alikiba" ambaye kwa sasa ndiyo msanii anayeongoza Kulipwa fedha nyingi kwenye Show kuliko msanii yeyote Yule East Africa.
😀😀😀😀 we jamaa umevuta bangi leo?
 
Mkuu nimeangalia hiyo video nimemuona diamond katupia aina ya nguo ambayo kiba alisha itupia kitambo sana sasa inamaana huyo jamaa hana mtu anayemshughurikia kwenye upangiliaji wa mavazi mbaka anacopy kwa wasanii wengine?View attachment 388228
Hajam copy, ila DIAMOND kaenda kumuomba kiba lile lile la kwake na kampa,vipi kuna tatizo ????
 
Hajam copy, ila DIAMOND kaenda kumuomba kiba lile lile la kwake na kampa,vipi kuna tatizo ????
Mkuu...
Ili JIBU lako sio la KAWAIDA..!
Kama atakuwa amekuelewa utakua UMEMFUNDISHA kitu KIKUBWA sana..!
 
Acha kumchafua kiba na kumgombanisha na mashabiki wke
 
Mkuu nimeangalia hiyo video nimemuona diamond katupia aina ya nguo ambayo kiba alisha itupia kitambo sana sasa inamaana huyo jamaa hana mtu anayemshughurikia kwenye upangiliaji wa mavazi mbaka anacopy kwa wasanii wengine?View attachment 388228

Hehehehe,mkuu hiyo nguo Alikiba alivaa kwenye video ya Sauti Soul,halafu Mondi akaivaa kwenye birthday ya Raymond geto kwake...Nadhani utakuwa umenote kitu hapo....yaan nguo za Domo za kulalia geto yeye Alikiba anaona ndo za kutokea kufanyia shooting.
 
Usifananishe Wizkid na vitu vya kijinga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1576][emoji1576][emoji1576]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1576][emoji1576][emoji1576]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…