MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Hahaha du!Wasanii wote wanaojua muziki.
Chama lao kubwa.
Bongo ndio hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha du!Wasanii wote wanaojua muziki.
Chama lao kubwa.
Bongo ndio hili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nahis jibu unalo mkuuMkuu una dstv?
😀😀😀😀 we jamaa umevuta bangi leo?Kiboko ya Wizkid, Fundi na Master wa game ya mziki wa Africa "Alikiba" ambaye kwa sasa ndiyo msanii anayeongoza Kulipwa fedha nyingi kwenye Show kuliko msanii yeyote Yule East Africa.
KARIBU WCB.
Hajam copy, ila DIAMOND kaenda kumuomba kiba lile lile la kwake na kampa,vipi kuna tatizo ????Mkuu nimeangalia hiyo video nimemuona diamond katupia aina ya nguo ambayo kiba alisha itupia kitambo sana sasa inamaana huyo jamaa hana mtu anayemshughurikia kwenye upangiliaji wa mavazi mbaka anacopy kwa wasanii wengine?View attachment 388228
Hakuna tatizo!Hajam copy, ila DIAMOND kaenda kumuomba kiba lile lile la kwake na kampa,vipi kuna tatizo ????
Mkuu...Hajam copy, ila DIAMOND kaenda kumuomba kiba lile lile la kwake na kampa,vipi kuna tatizo ????
Basi poa.Hakuna tatizo!
Pamoja mkuu.Mkuu...
Ili JIBU lako sio la KAWAIDA..!
Kama atakuwa amekuelewa utakua UMEMFUNDISHA kitu KIKUBWA sana..!
Acha kumchafua kiba na kumgombanisha na mashabiki wkeYule Mwana Dar es Salaam, Kingkiba, Balozi wa wanyama, Msanii pekee aliyetoboa Kimataifa bila Collabo, Kiboko ya Wizkid, Fundi na Master wa game ya mziki wa Africa "Alikiba" ambaye kwa sasa ndiyo msanii anayeongoza Kulipwa fedha nyingi kwenye Show kuliko msanii yeyote Yule East Africa.
Mwezi September kwenda kushusha Laana 5 takatifu kupitia nyimbo mpya atakazoenda kuachia 2 zake binafsi na 3 alizoshirikishwa na wasanii wa ndani na nje ya nchi,
Wajuzi na watafiti wa duru za Burudani Africa Mashariki, Wanabashiri kuwa huenda ikawa ndiyo mwanzo na mwisho wa kufunga rasmi nyufa za mziki wa bongoflava ambazo zimekuwepo kwa miaka mingi, Ambapo kwa sasa wasanii wengi wamevamia game na kukop mziki wa Nigeria bila kuzingatia misingi ya mziki wetu wa asili, Mbaya zaidi na wengine kufika mbali kutumia kiki za kihafidhina na kununua tuzo ili kupush mziki wao unaosuasua.
Note:
Kila atakayesikia project hizo mpya za KingKiba, Hakuna hata mmoja atakayethubutu kumaliza luku yake kusikiliza nyimbo zenye unaijeria, kiki na promo za kipuuzi.
Stay tuned, #KAJIANDAE #AJE_REMIX #NISAMEHE #TUMESHINDIKANA #NIA_YAO
Acha kulinganisha Wizkid na vitu vya kijingaUna uhakika na hio story?? Umeiskia wap?? Alikiba na wizkid unawalinganisha vp??
Mkuu nimeangalia hiyo video nimemuona diamond katupia aina ya nguo ambayo kiba alisha itupia kitambo sana sasa inamaana huyo jamaa hana mtu anayemshughurikia kwenye upangiliaji wa mavazi mbaka anacopy kwa wasanii wengine?View attachment 388228
Hehehehe,mkuu hiyo nguo Alikiba alivaa kwenye video ya Sauti Soul,halafu Mondi akaivaa kwenye birthday ya Raymond geto kwake...Nadhani utakuwa umenote kitu hapo....yaan nguo za Domo za kulalia geto yeye Alikiba anaona ndo za kutokea kufanyia shooting.
Hehehehe,mkuu hiyo nguo Alikiba alivaa kwenye video ya Sauti Soul,halafu Mondi akaivaa kwenye birthday ya Raymond geto kwake...Nadhani utakuwa umenote kitu hapo....yaan nguo za Domo za kulalia geto yeye Alikiba anaona ndo za kutokea kufanyia shooting.