Alikiba kuisimamisha dunia August 25

Muziki sio mashindani, na humpangii shibiki wa muziki ampende msanii huyo na amchukie huyu. Katika muziki tunaupenda kutokana na burudani na ujumbe tunaoupata katika muziki wenyewe. Sasa ushabiki wa wasanii ni namna fulani ya kutojielewa. Ushabiki kama huu upelekwe kwenye masumbwi tu.kama unamchukia msanii hautaona uzuri wake maana utausikiliza ukiwa tayari una majibu yako kichwani. Tupendeni mziki mzuri na sio kua na ushabiki kwa wasanii tena kwa kuwajengea chuki wengine.
 
Vp upande wa views YouTube Kiba Aje iliyotoka miezi miwili sijui mitatu nyuma na ya Mondi aliyotoka mwezi 1 uliopita ziko vp?

Views YouTube hazidetermine ukubwa wa ngoma, hata wewe ukijirekod utupu ukaitupia video YouTube vile vile utapata views wengi, so views is nothing.
 
Views YouTube hazidetermine ukubwa wa ngoma, hata wewe ukijirekod utupu ukaitupia video YouTube vile vile utapata views wengi, so views is nothing.
Haha et views is nothing acha kujitoa ufahamu ww..
 

Mmmmh! Bora isisimame coz tarehe hiyo ndo mdeni wangu kaahidi kuripa deni langu.
 
Views YouTube hazidetermine ukubwa wa ngoma, hata wewe ukijirekod utupu ukaitupia video YouTube vile vile utapata views wengi, so views is nothing.
viewers wanalipa
kila mtu mmoja anaetizama analipa
ndio maana watu wanaigiza vichekesho wanaweka youtube..
upo?
 
Naisubiri kwa hamu sana wakati aje ikiendelea kutamba mtaani redion ndani ya tv clubs nikafikiri amemaliza kumbe kuna org yake inakuja[emoji3][emoji3][emoji3] naisubiri kwa hamu kubwa king kiba daima
 
Ha ha ha ha ha nacheka kwa dharau kuona king nae kaomba "COLLABO"
 
Duu noma sana popote anapopita Rais wa bongoflava chibude lazima aache alama kumbe mzee wa wanyama unamkubali south mmeungatela kila mtu saiz video south colabo nigeria umeungatela [emoji23][emoji23] haya kahamia zimbabwe karibu na huku mzee wa fursa anawafagilia njia mteleze [emoji23][emoji23][emoji23]acheni chibu aitwe chibudeee mond we nomaaa !! Veep project na neyo imeishia airport
 
Kila kitu wanasubiri Diamond afanye na wao ndio wafanye, Diamond kapeleka 20ml GSM ati wao wakapeleka 21ml. Mnamtesa tu Ali Kiba maana uwezo wenyewe zero,bado anaishi kwa mama na umri umemkimbia. Hiyo 21ml si angenyanyua hata msingi wa nyumba.

Wewe moyo wako wakishetani kutoa ni moyo sio lazima uwe na mabilion ndo utoe.
 
Mbona hueleweki unazungumza nn
 
Alikiba hana ubunifu wowote!.
Hivi humu sijui fikara hatunaaa Mara timukiba Mara timu diamond. Unawezaje kuwalinganisha alikba na diamond kwa sasa japo alikiba alianza kuvuma yeye lkn tukubali diamond yuko mbali sana kimuziki na walionyuma yake wanajifunza mengi kutoka kwake hata king kiba/Alikiba mwenyewe anamkubali lkn nawashangaaa mashaabiki zake ndo mnakomaaaa et aisimamishe dunia !!!
 
Views YouTube hazidetermine ukubwa wa ngoma, hata wewe ukijirekod utupu ukaitupia video YouTube vile vile utapata views wengi, so views is nothing.
Huyo labda afanye kolabo na wema ndio atapata viewers wengi.mwanaume anaishi kwa kutegemea team wema imbebe a.k.a team vigodoro
 
Duuh sema dunia yako ndio itasimama.....kama unapenda mziki huezi kumpenda kiba umdis mondi izo ni tabia za kujiendekeza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…