Alikiba kwani ukijishusha kwa Diamond utakufa?..

Alikiba kwani ukijishusha kwa Diamond utakufa?..

Ngurubhe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
1,840
Reaction score
1,049
7833322fb8af46d473d686c8320b3dc9.jpg

Ndugu zangu,kumradhi Kama kuna watu watanielewa vibaya,lakini tufike hatua tujue kuwa nyeupe itabaki kuwa nyeupe,na nyeusi itabaki kuwa nyeusi.

Nimekuwa nikiwaskia Alikiba na Diamond wakihojiwa hasa na Sporah kila mmoja hunipa picha fulan hivi,lakini Huwa nuona Diamond hana tatizo na kiba,lakini kiba huwa anahisi kuna mtu anamuonea na kuwa yeye ndio mwimbaji bora lakini anaonewa na hata asionekane bora.Sjui mentality hii anaitoa wapi.

Inawezekana tunaowashabikia ndio tunawafanya wafike hatua hii,kwani hata nikirejea kilichotokea huko kenya juzi unaona kabisa ALIKIBA HATA AKISHINDWA AU KUKOSEA KWA KITU AMBACHO NI MAZINGIRA TU ATATAFUTA NAMNA YA kumsa vibaya Diamond.

Mim namshauri ALIKIBA AJUE KUWA kila mmoja anafaa,na kila mmoja kati yao ni mzuri lakini kila mmoja ana radha yake.

Ni ujinga chenza kujisfia ni tamu kuliko chungwa.

Au ndimu kujisifia ni bora kuliko limao.

Kila mtu atafaa na kukubalika katika mazingira fulani na kwa radha yake,namuona Alikiba akifaa na hata Diamond pia lakin kila mmoja na radha yake.


Diamond hadi sasa anazidi kupenya katika mziki wa kimataifa,Alikiba badala ya kutaka kujishusha ili ajue mwenzie anafanyaje yeye anatumia mda mwingi kuwaskliza mashabiki wa kibongo ambao aslimia kubw a huwa ni mara chache husema ukweli.

Mim nakushauri Alikiba ni kweli ulianza msiki mapema kuliko Diamond,yaani you are a senior lakini hii tu haitoshi kukufanya ushindwe kushirikiana na mwenzio baada ya kuwa amepanda chati kiliko wewe.Najua mashabiki wako huwa wanakupotosha hata hapa wataishia kuanglia na kuongea ujinga ujinga tu badala ya mambo ya msingi...

Usilewe sifa za kibongobongo ambazo zina radha ya hira,wivu,unafiki na majungu na u-dogmtism hii haitakusaidia chochote...hata Harmonize atakupita mim nakuambia....just hold on will soon see and understand my language.

Utabaki hata ukilala usingizi kwenye gari unahisi manager wa diamond kapita karbu na wewe..


Na nyie wabongo msemo wa nabii hakubaliki kwao ni msemo tu...Diamond is now an international muscian....najua ati akifa ndio huwa mnaanza oooo he used to be a good man acheni unafiki.....


Staki kusema juu ya TUZO walizopta huko Marekani nikiamin wote mnajua
 
na ww tukuulize kwan mondi bin laden akijishush kwa kiba atakufa?
Toa na ww mawzo yako mim nimewaza hivyo,kama umeniskia nimesma tatizo lipo kwa Kiba,kumbuka maongez ya Sallam hivi juzi alisema sisi tupo tyar kufanya nae kazi ,lakin kiba huwa tayr ana negative atitude juu Diamond...hivyo lazma huyu ndio ashauriwe.....
 
Ajishuje akamlambe miguu au?????? Acheni kumuona huyo mwenzenu kama Mungu wenu basi... Kiba ndo kamkosea huyo Mungu wenu au.... Sema wote wajishushe wasameheane.
Ili kuikuza tasnia ya muziki hawa watu ni vyema wakashirikiana bila ya vinyongo visivyo na sababu.
 
Ili kuikuza tasnia ya muziki hawa watu ni vyema wakashirikiana bila ya vinyongo visivyo na sababu.
Sawa lakini sio kama mtoa mada kumfanyaja kiba kuwa mkosaji. Wapatane sio eti kiba ajishushe... Wajishushe wote. Dini moja na wote wametokea mkoa mmoja kama sikosei. ........
 
Ushenzi mtupu hapa. Kiba ajishushe kwa Mondi kwa kipi hasa.
Kiba alimshika mkono Mondi akaipeleka kwa sharo kurekodi.
 
Mfano GK amewatoa wangapi pale ECT Na bado wanampa heshima yake pamajo Na kwamba wametoboza zaidi yake.
 
Ushenzi mtupu hapa. Kiba ajishushe kwa Mondi kwa kipi hasa.
Kiba alimshika mkono Mondi akaipeleka kwa sharo kurekodi.
DIAMOND jana kamwendea hewani kiba na maongezi yao yalikuwa hivi:-

MONDI. Haloo broo.
kiba. yooooo.
MONDI.vipi uko poa...?
Kiba.niko poa.
MONDI.Eti broo,una tatizo lolote na mimi au my manager....?
kiba. No, no my young bro.
MONDI.kwahiyo tatizo ni nini...??
Kiba. Hakuna tatizo kabisa.
MONDI. Mbona umeongea vile kwenye media ...?
Kiba.kama utakuwa uliyasikiliza vizuri maongezi yangu sijamtaja muhusika wa lile tukio ila media ndio zinakuza mambo.
MONDI. ila umeharibu sana broo.
Kiba. nafahamu, ila nakuahidi haitatokea tena.
MONDI. Poa, next time kabla hujaenda kwa media wasiliana nami kama kuna tatizo.
Kiba.Ondoa shaka,hiyo ilikuwa ni ajali tu,sikudhani kama yatachukuliwa vibaya.
 
DIAMOND jana kamwendea hewani kiba na maongezi yao yalikuwa hivi:-

MONDI. Haloo broo.
kiba. yooooo.
MONDI.vipi uko poa...?
Kiba.niko poa.
MONDI.Eti broo,una tatizo lolote na mimi au my manager....?
kiba. No, no my young bro.
MONDI.kwahiyo tatizo ni nini...??
Kiba. Hakuna tatizo kabisa.
MONDI. Mbona umeongea vile kwenye media ...?
Kiba.kama utakuwa uliyasikiliza vizuri maongezi yangu sijamtaja muhusika wa lile tukio ila media ndio zinakuza mambo.
MONDI. ila umeharibu sana broo.
Kiba. nafahamu, ila nakuahidi haitatokea tena.
MONDI. Poa, next time kabla hujaenda kwa media wasiliana nami kama kuna tatizo.
Kiba.Ondoa shaka,hiyo ilikuwa ni ajali tu,sikudhani kama yatachukuliwa vibaya.
Ngoja waje utajuta
 
Ile research itawahusu wengi sana natamani wangongeza kila wa TZ wanne watatu ni vichaa. Maana haiwezekani mtu analeta uzi usio na kichwa wala miguu hana utafiti wa kutosha na anachokiongea ila hisia tu zinamtuma kufanya hivo anajitutumua kuandika vitu vyenye upungufu wa ujumi na itifaki.
 
Back
Top Bottom