Alikiba: Mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo, na muziki wangu una thamani zaidi ya tuzo

Alikiba: Mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo, na muziki wangu una thamani zaidi ya tuzo

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Akiongea na AyoTv, mwanamuziki Ali Kiba amesema, 'Nimegundua mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo. Japo ni sifa lakini kiukweli music wangu una thamani kuliko tuzo. Ndio maana ninapoona ulazima naenda ila kama hakuna nabaki nafanya biashara zangu zingine".

Last edited by a moderator:
Barcelona bila UEFA cup sio best club....
Liverpool bila ya Kombe sio clab bora...

Raha ya mech bao, raha ya nyimbo tuzo....
sumbai tuache alikiba wetu sasa hahahaha.
 
Last edited by a moderator:
Barcelona bila UEFA cup sio best club....
Liverpool bila ya Kombe sio clab bora...

Raha ya mech bao, raha ya nyimbo tuzo....
una nikumbusha wimbo wa twanga " Aisha eeeh....eeeh raha ya mechi bao... "
 
Thread closed. Thanx.
Barcelona bila UEFA cup sio best club....
Liverpool bila ya Kombe sio clab bora...

Raha ya mech bao, raha ya nyimbo tuzo....
 
anajua sana kukata tamaa huyo dogo kibakuli pole tuzo zina wenyewe waachie wababe kina mafia mond bin laden
 
Consolation....! Lets see, huenda Christian Bella akampa bonge la push.. Maana 2015 umekuwa mwaka wa Bella.
 
Huyu nae hata alipowekeza hana

Si bora afunge mdomo na kuonyesha haumii nani asiyependa tuzo zinazotolewa kwa fani za usaniiii

Anachekesha sana bila kugusia swala la Chibu(hata kama hajamtaja ni nani tena anamuumiza roho) ma maendeleo yake hana cha kuongea.
 
Back
Top Bottom