Alikiba: Mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo, na muziki wangu una thamani zaidi ya tuzo

Alikiba: Mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo, na muziki wangu una thamani zaidi ya tuzo

Kiba alisema hivi " mwaka mmoja alisema anaangalia soko kwanza halafu ndo mambo mazuri yanafuata

Ishu sio kuangalia soko, kama kunavitu unaona hajatimiza ujue alifail.. Japokuwa kwa sasa ametisha, CCM wametishaaaaa..!

Kuna watu wapuuzi sana waliokuwa wanaponda wasanii kupiga kampeni, sahivi hata mwanafa next week anaenda kushoot video South...

At least pengine mwakani tutaanza kuwaona kwenye show na tuzo za kimataifa ukiachana na hutu tu afrima na aea ambazo wanachaguachagua tu...
 
Mwambangoma huvutia kwake... Cha muhimu kama unamapenzi ya dhati kwa kiba, mumkomalie atafute management ya maana itayomfanya apige hatua, hata AY ni manager mzuri sana...

Vanessa mafanikio yote anayopata hana management ni kujiongeza ye mwenyewe.. Alikiba ni mzito sana kujiongeza, suala hata la kuwafollow watu insta haikutakiwa kuwa suala la kupigiwa makelele sana na watu (mpaka staa mwenzako anakuomba umfollow afu unapotezea? kwa lipi hasa?) suala la kutoa ngoma kwa wakati, kujitangaza kama brand (lakini wengine ndio wanaishia kusifu ujinga kwamba hana mkuu ni ushenzi, kwa staili hiyo atasahau kulipwa hata asilimia 30% ya anayolipwa diamond kwa show moja)

Ukiwa bora, shabiki ataelewa tu!! kabla ya diamond nilikuwa kwa kiba mzimamzima, sasahivi kaja chibu dangote sina tatizo....

The winning team, matumaini peleka angaza,

Juzi kanichekesha sana, eti ninapenda sana kuwa surprise mashabiki, nikikumbuka last time ametuambia atatusurprise mwaka sasa umeisha. Sasa sijui hili neno surprise sijui analichukuliagaje maskini.
 
Kingine alichonivunja nacho mbavu, alimuambia millard unajua mimi ni DIRECTOR MZURI SANA WA MOVIE, alipoulizwa ni movie gani ameshaidirect, ooh! ndio najifunza bado sijatoa! I was like toooooba
 
Cc. #Alikiba 😂😂😂😂😂😂😂 umemchana sana Kidingi hii tabia ya kusifiana ujinga sijui unasauti nzuri sijui nini ndio uliomfikisha kiba hapa tulipo. Kama issue ni sauti nzuri mbona hata wemasepetu anayo?

Wenyewe wanakuambia the best vocolist
 
Last edited by a moderator:
Cc. #Alikiba 😂😂😂😂😂😂😂 umemchana sana Kidingi hii tabia ya kusifiana ujinga sijui unasauti nzuri sijui nini ndio uliomfikisha kiba hapa tulipo. Kama issue ni sauti nzuri mbona hata wemasepetu anayo?

mwe...unatuchamba mnoo...tubakize kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Masikini Kibakuli, eti yeye mkubwa kuliko tuzo.Kumbe anajifariji kwa kumhofia diamond matuzo.
 
Hahahahahaha watu wanamaneno sana

""Eti king kiba alivyoshinda tuzo za pombe tu aliweuka picha milioni na akazunguka na daladala dar nzima, Siku akija kushinda MTV anaweza akaenda kigoma ya mguu hahahaha""

Utani tu lakini wenye kiminyio cha ukweli kwa mbaaaaali.. pwilo cute b K 4 LIFE nifah video yetu ya nagharamia inatoka lini?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha watu wanamaneno sana

""Eti king kiba alivyoshinda tuzo za pombe tu aliweuka picha milioni na akazunguka na daladala dar nzima, Siku akija kushinda MTV anaweza akaenda kigoma ya mguu hahahaha""

Utani tu lakini wenye kiminyio cha ukweli kwa mbaaaaali.. pwilo cute b K 4 LIFE nifah video yetu ya nagharamia inatoka lini?

Umesahau kuwa as ni watu wa coming soon
 
Last edited by a moderator:
Kashaanza changanykiwa maskini.
Amahitaj ushauri na manager mwenye akili kubwa.
 
Huyu jamaaa anakaliba za ukike ukike kazi kulalama tu akishindwa mbona alipopata tuzo za kili maneno haya hayakumtoka analingia sauti wakati hata SNURA anayoo yeye nyimbo zake hata kwa waziri mkuu(ruangwa)hazifiki ndio atakubalika west Africa ???... Nyambafuu zake mwambie aache roho Iyo kwani kujilinganisha na diamond ni kutaka kujipasua tu bure sawa na simba na man ute wapi na wapi
 
Hata mimi napata wasiwasi na tuzo hizi sasa maana naona mziki kidogo tuzo nyingi
 
Bora bange za arusha kuliko bange za jamaaaika znavutwa majani mabichi.
 
Kiba hana tofauti na babu ayubu

mkuu unamaanisha huyu huyu MC babu ayubu mzee wa kuigiza sauti au!!!if so sio vizuri kuwakatisha tamaa to such an extent mashabiki wa mfalme zamunda.
 
Back
Top Bottom