Alikiba: Mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo, na muziki wangu una thamani zaidi ya tuzo

Biography yake insta tu kaweka hadi link ya kupigiwa kura, na anakumbushia sana tu kwa kuomba.. Nadhani tatizo lilikuwa kujipanga kulijibu hilo swali..

Next time ni kufanya kazi nzuri, na kuhakikisha inafika mbali atapata tuzo tu!!! Angepata na msaada ki ukaribu zaidi kwa King of Afropop
 
Hahaaa atak tuzo bt anataman maisha ya kifalme kama mdogo wake.
 
Biography yake insta tu kaweka hadi link ya kupigiwa kura, na anakumbushia sana tu kwa kuomba.. Nadhani tatizo lilikuwa kujipanga kulijibu hilo swali..

Next time ni kufanya kazi nzuri, na kuhakikisha inafika mbali atapata tuzo tu!!! Angepata na msaada ki ukaribu zaidi kwa King of Afropop

Kwa kweli nimecheka sana maana umetoa bonge la ukweli

Ananaombaga kura sana na kukumbushia halafu anaongea hayo.
 
Barcelona bila UEFA cup sio best club....
Liverpool bila ya Kombe sio clab bora...

Raha ya mech bao, raha ya nyimbo tuzo....

Raha ya nyimbo ujumbe na burudani
TUZO HAMUWEZI KUPATA WOTE ILA RAHA YA MUSIC TWAPATA WOTE.
 
Inamaana ata tuzo za mtv Europe hazitaki? Anataka za kili pekee! akubali tu Diamond sio level zake ataumiza kichwa tu.
 
Huyu jamaa angekuwa anapigwa madongo kama anayopigwa DIAMOND angeshapotea zamani sana, sasa angalia bio yake ya ig ametoa neno "king kiba" kwa sababu ya madongo ya mashabiki wa DIAMOND.Eti muziki wake mkubwa kuliko tuzo alipomuomba Wema ampigie kura au zile linki kwenye bio yake anatakaga nini ???? hakubali tu kuwa bado wakati wake.
 
Raha ya nyimbo ujumbe na burudani
TUZO HAMUWEZI KUPATA WOTE ILA RAHA YA MUSIC TWAPATA WOTE.

Mtihani hata urembe muandika vipi kama umeandika pumba kufeli kunakuhusu..

Mashabiki wa alikiba wanadanganyika na sauti, ile sio fact ya kuwa bora ni sawa na muandiko mzuri darasani haukufaulishi hata kidogo..

Cha pili, soko halihitaji useme nyimbo zako zinaelimisha jamii kwahiyo wewe ndio top of the game hahahaha wanamuziki wa injili wangekuwa wanatisha kwa staili hiyo, pamoja na wanahiphop lakini haipo hivo

Muziki ni vionjo vinavyomfanya mtu aburudike ndio vinavyokufanya uwe wa kipekee, wewe kama shuleni umepelekwa umeenda kufanya mapenzi husomi unategemea best naso aje akupe elimu kwenye nyimbo zake hahahaha UMEFELE KWA MARA YA PILI..

NDIO MAANA NYIMBO ZINAPIGWA CLUBS SEHEMU AMBAPO WATU WANA HAVE FUN NA SIO SHULENI..

Unaweza ukajipa mfano mwepesi tu, wimbo kama amarula unavyotikisa tanzania sasahivi ndio utaniambia ni nini kilichoifanikisha ujumbe? au vionjo?

Afu amia my woman my everything ya patoranking, afu uje wimbo wa koffi olomide 'selfie' kitu cha EKOTITE oyooooooo yani lazima uchizike sasa hizo ndio kati ya nyimbo tano za nje ya tz zinazosumbua media kwa sasa...

TUZO NI MUHIMU SANA, ALIKIBA MWENYEWE ANALIFAHAMU HILO ILA ALITEREZA TU!! JAPOKUWA NA JEURI YA KUPATA TUZO NI ISHU!!!
 
Tatizo ni moja tu mashabiki wa diamond mnataka kila mtu amshabikie yy mmesahau kwamba hata nuh mziwanda na omy dimpoz wanamashabiki
 
Mwambangoma huvutia kwake... Cha muhimu kama unamapenzi ya dhati kwa kiba, mumkomalie atafute management ya maana itayomfanya apige hatua, hata AY ni manager mzuri sana...

Vanessa mafanikio yote anayopata hana management ni kujiongeza ye mwenyewe.. Alikiba ni mzito sana kujiongeza, suala hata la kuwafollow watu insta haikutakiwa kuwa suala la kupigiwa makelele sana na watu (mpaka staa mwenzako anakuomba umfollow afu unapotezea? kwa lipi hasa?) suala la kutoa ngoma kwa wakati, kujitangaza kama brand (lakini wengine ndio wanaishia kusifu ujinga kwamba hana mkuu ni ushenzi, kwa staili hiyo atasahau kulipwa hata asilimia 30% ya anayolipwa diamond kwa show moja)

Ukiwa bora, shabiki ataelewa tu!! kabla ya diamond nilikuwa kwa kiba mzimamzima, sasahivi kaja chibu dangote sina tatizo....

The winning team, matumaini peleka angaza,
 
Mtihani hata urembe muandika vipi kama umeandika pumba kufeli kunakuhusu..

Mashabiki wa alikiba wanadanganyika na sauti, ile sio fact ya kuwa bora ni sawa na muandiko mzuri darasani haukufaulishi hata kidogo..

Cha pili, soko halihitaji useme nyimbo zako zinaelimisha jamii kwahiyo wewe ndio top of the game hahahaha wanamuziki wa injili wangekuwa wanatisha kwa staili hiyo, pamoja na wanahiphop lakini haipo hivo

Muziki ni vionjo vinavyomfanya mtu aburudike ndio vinavyokufanya uwe wa kipekee, wewe kama shuleni umepelekwa umeenda kufanya mapenzi husomi unategemea best naso aje akupe elimu kwenye nyimbo zake hahahaha UMEFELE KWA MARA YA PILI..

NDIO MAANA NYIMBO ZINAPIGWA CLUBS SEHEMU AMBAPO WATU WANA HAVE FUN NA SIO SHULENI..

Unaweza ukajipa mfano mwepesi tu, wimbo kama amarula unavyotikisa tanzania sasahivi ndio utaniambia ni nini kilichoifanikisha ujumbe? au vionjo?

Afu amia my woman my everything ya patoranking, afu uje wimbo wa koffi olomide 'selfie' kitu cha EKOTITE oyooooooo yani lazima uchizike sasa hizo ndio kati ya nyimbo tano za nje ya tz zinazosumbua media kwa sasa...

TUZO NI MUHIMU SANA, ALIKIBA MWENYEWE ANALIFAHAMU HILO ILA ALITEREZA TU!! JAPOKUWA NA JEURI YA KUPATA TUZO NI ISHU!!!

Wewe mwenyewe Kidingi a.k.a kibaba.
 
Last edited by a moderator:
Mwambangoma huvutia kwake... Cha muhimu kama unamapenzi ya dhati kwa kiba, mumkomalie atafute management ya maana itayomfanya apige hatua, hata AY ni manager mzuri sana...

Vanessa mafanikio yote anayopata hana management ni kujiongeza ye mwenyewe.. Alikiba ni mzito sana kujiongeza, suala hata la kuwafollow watu insta haikutakiwa kuwa suala la kupigiwa makelele sana na watu (mpaka staa mwenzako anakuomba umfollow afu unapotezea? kwa lipi hasa?) suala la kutoa ngoma kwa wakati, kujitangaza kama brand (lakini wengine ndio wanaishia kusifu ujinga kwamba hana mkuu ni ushenzi, kwa staili hiyo atasahau kulipwa hata asilimia 30% ya anayolipwa diamond kwa show moja)

Ukiwa bora, shabiki ataelewa tu!! kabla ya diamond nilikuwa kwa kiba mzimamzima, sasahivi kaja chibu dangote sina tatizo....

The winning team, matumaini peleka angaza,
Mkuu kwanza management ya kiba unaijua au unaiskia ?? Tuanze hapo
 
Haha mkuu mbona kila siku unalilia management ya kiba kwanza unaijua yani mwaka mmoja tu mpo hoi na nyimbo mbilo tukianza kufumua si mtalia nyinyi
 
Akiongea na AyoTv, mwanamuziki Ali Kiba amesema, 'Nimegundua mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo. Japo ni sifa lakini kiukweli music wangu una thamani kuliko tuzo. Ndio maana ninapoona ulazima naenda ila kama hakuna nabaki nafanya biashara zangu zingine".

Sizitaki mbichi hizi
 
Last edited by a moderator:
Hivyo hivyo kiba sema chochote... mdomo mali yako
 
Mkuu kwanza management ya kiba unaijua au unaiskia ?? Tuanze hapo

Oya brother, kuifahamu au kutoifahamu management sio ishu.. Ubora wa management haufichiki unaonekana wazi tu!!!

Afu kuhusiana na kusema kiba ametoka na nyimbo mbili tu, kwa mafanikio yapi?? kama kunachochote amegain asilimia zaidi ya 80 imetokana na bifu lililopo na diamond

Katoka mwezi wa nane, katoa official mbili, na diamond katoa nitampata wapi, nasema nawe, na nana tokea kiba aje... 2 kwa 3..
 
...kiba kavurugwa na nini?! au shida kuzisubiri sana halafu haziji, basi sitaki tena.!!
 
Back
Top Bottom