una nikumbusha wimbo wa twanga " Aisha eeeh....eeeh raha ya mechi bao... "Barcelona bila UEFA cup sio best club....
Liverpool bila ya Kombe sio clab bora...
Raha ya mech bao, raha ya nyimbo tuzo....
mimi nitaendelea kumkubali hivyo hivyo. #Diehardfan.Ha haa mkuu, kiba akomae bwana he is best artst,
hahahaha vipi kwa diamondHata mimi namkubali sana,
Aiseee
una nikumbusha wimbo wa twanga " Aisha eeeh....eeeh raha ya mechi bao... "
Barcelona bila UEFA cup sio best club....
Liverpool bila ya Kombe sio clab bora...
Raha ya mech bao, raha ya nyimbo tuzo....
Hana lolote maneno ya mkosaji