Biography yake insta tu kaweka hadi link ya kupigiwa kura, na anakumbushia sana tu kwa kuomba.. Nadhani tatizo lilikuwa kujipanga kulijibu hilo swali..
Next time ni kufanya kazi nzuri, na kuhakikisha inafika mbali atapata tuzo tu!!! Angepata na msaada ki ukaribu zaidi kwa King of Afropop
Barcelona bila UEFA cup sio best club....
Liverpool bila ya Kombe sio clab bora...
Raha ya mech bao, raha ya nyimbo tuzo....
Raha ya nyimbo ujumbe na burudani
TUZO HAMUWEZI KUPATA WOTE ILA RAHA YA MUSIC TWAPATA WOTE.
Tatizo ni moja tu mashabiki wa diamond mnataka kila mtu amshabikie yy mmesahau kwamba hata nuh mziwanda na omy dimpoz wanamashabiki
Mtihani hata urembe muandika vipi kama umeandika pumba kufeli kunakuhusu..
Mashabiki wa alikiba wanadanganyika na sauti, ile sio fact ya kuwa bora ni sawa na muandiko mzuri darasani haukufaulishi hata kidogo..
Cha pili, soko halihitaji useme nyimbo zako zinaelimisha jamii kwahiyo wewe ndio top of the game hahahaha wanamuziki wa injili wangekuwa wanatisha kwa staili hiyo, pamoja na wanahiphop lakini haipo hivo
Muziki ni vionjo vinavyomfanya mtu aburudike ndio vinavyokufanya uwe wa kipekee, wewe kama shuleni umepelekwa umeenda kufanya mapenzi husomi unategemea best naso aje akupe elimu kwenye nyimbo zake hahahaha UMEFELE KWA MARA YA PILI..
NDIO MAANA NYIMBO ZINAPIGWA CLUBS SEHEMU AMBAPO WATU WANA HAVE FUN NA SIO SHULENI..
Unaweza ukajipa mfano mwepesi tu, wimbo kama amarula unavyotikisa tanzania sasahivi ndio utaniambia ni nini kilichoifanikisha ujumbe? au vionjo?
Afu amia my woman my everything ya patoranking, afu uje wimbo wa koffi olomide 'selfie' kitu cha EKOTITE oyooooooo yani lazima uchizike sasa hizo ndio kati ya nyimbo tano za nje ya tz zinazosumbua media kwa sasa...
TUZO NI MUHIMU SANA, ALIKIBA MWENYEWE ANALIFAHAMU HILO ILA ALITEREZA TU!! JAPOKUWA NA JEURI YA KUPATA TUZO NI ISHU!!!
Mkuu kwanza management ya kiba unaijua au unaiskia ?? Tuanze hapoMwambangoma huvutia kwake... Cha muhimu kama unamapenzi ya dhati kwa kiba, mumkomalie atafute management ya maana itayomfanya apige hatua, hata AY ni manager mzuri sana...
Vanessa mafanikio yote anayopata hana management ni kujiongeza ye mwenyewe.. Alikiba ni mzito sana kujiongeza, suala hata la kuwafollow watu insta haikutakiwa kuwa suala la kupigiwa makelele sana na watu (mpaka staa mwenzako anakuomba umfollow afu unapotezea? kwa lipi hasa?) suala la kutoa ngoma kwa wakati, kujitangaza kama brand (lakini wengine ndio wanaishia kusifu ujinga kwamba hana mkuu ni ushenzi, kwa staili hiyo atasahau kulipwa hata asilimia 30% ya anayolipwa diamond kwa show moja)
Ukiwa bora, shabiki ataelewa tu!! kabla ya diamond nilikuwa kwa kiba mzimamzima, sasahivi kaja chibu dangote sina tatizo....
The winning team, matumaini peleka angaza,
Haha mkuu mbona kila siku unalilia management ya kiba kwanza unaijua yani mwaka mmoja tu mpo hoi na nyimbo mbilo tukianza kufumua si mtalia nyinyiMwambangoma huvutia kwake... Cha muhimu kama unamapenzi ya dhati kwa kiba, mumkomalie atafute management ya maana itayomfanya apige hatua, hata AY ni manager mzuri sana...
Vanessa mafanikio yote anayopata hana management ni kujiongeza ye mwenyewe.. Alikiba ni mzito sana kujiongeza, suala hata la kuwafollow watu insta haikutakiwa kuwa suala la kupigiwa makelele sana na watu (mpaka staa mwenzako anakuomba umfollow afu unapotezea? kwa lipi hasa?) suala la kutoa ngoma kwa wakati, kujitangaza kama brand (lakini wengine ndio wanaishia kusifu ujinga kwamba hana mkuu ni ushenzi, kwa staili hiyo atasahau kulipwa hata asilimia 30% ya anayolipwa diamond kwa show moja)
Ukiwa bora, shabiki ataelewa tu!! kabla ya diamond nilikuwa kwa kiba mzimamzima, sasahivi kaja chibu dangote sina tatizo....
The winning team, matumaini peleka angaza,
Akiongea na AyoTv, mwanamuziki Ali Kiba amesema, 'Nimegundua mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo. Japo ni sifa lakini kiukweli music wangu una thamani kuliko tuzo. Ndio maana ninapoona ulazima naenda ila kama hakuna nabaki nafanya biashara zangu zingine".
Mkuu kwanza management ya kiba unaijua au unaiskia ?? Tuanze hapo
Barcelona bila UEFA cup sio best club....
Liverpool bila ya Kombe sio clab bora...
Raha ya mech bao, raha ya nyimbo tuzo....