Alikiba: Mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo, na muziki wangu una thamani zaidi ya tuzo

Inaonyesha amekata tamaa kabisa kumfikia Diamond!
 
Sasa mnenguaji atatoa ushauri gani kwenye uimbaji
 
Kama yanga na simba vile "wa mchangani na wa kimataifa"
 
Mkuu kwanza management ya kiba unaijua au unaiskia ?? Tuanze hapo

Kiba kama kweli ana manager basi amtimue kazi. Hivi management isiyoleta mafanikio ya nini?

Kama kweli we unampenda Kiba hakikisha anapata uongozi bora ili mafanikio yaonekane kitaifa na kimataifa pia vinginevyo atabaki analalamika tu kwenye social media kuwa hapewi sapoti wakati wenzie wanazidi kushine

Asikwambie mtu Raha Ya Mechi Bao
 
Cc. #Alikiba 😂😂😂😂😂😂😂 umemchana sana Kidingi hii tabia ya kusifiana ujinga sijui unasauti nzuri sijui nini ndio uliomfikisha kiba hapa tulipo. Kama issue ni sauti nzuri mbona hata wemasepetu anayo?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kiba ana mwaka mmoja tu mnataka afanye collaboration mpaka na beyonce na angefanya hivyo ingekuwa tushamsahau ila ana akili sana kiba
 
Mkuu kiba ana mwaka mmoja tu mnataka afanye collaboration mpaka na beyonce na angefanya hivyo ingekuwa tushamsahau ila ana akili sana kiba

Mwaka mmoja wa wapi? Mbona dogo ameanza muziki kitambo tu
 
Mkuu kiba ana mwaka mmoja tu mnataka afanye collaboration mpaka na beyonce na angefanya hivyo ingekuwa tushamsahau ila ana akili sana kiba

Kazi anayoiandaa marekani sasahvi inaonekana itakuwa ya moto saaana...!
 
Mwaka mmoja wa wapi? Mbona dogo ameanza muziki kitambo tu
Mkuu kiba alikaa kimya miaka 3 alirudi kwa kulazimishwa na mashabiki ndo akakubali na dada wastara na baadhi ya watu wakubwa wakubwa
 
Jaman aliulizwa na mtangazaji ndio akajibu hvy. Sio km alikurupuka kusema.
 
Kazi anayoiandaa marekani sasahvi inaonekana itakuwa ya moto saaana...!
Kiba alisema hivi " mwaka mmoja alisema anaangalia soko kwanza halafu ndo mambo mazuri yanafuata
 
Mkuu kiba alikaa kimya miaka 3 alirudi kwa kulazimishwa na mashabiki ndo akakubali na dada wastara na baadhi ya watu wakubwa wakubwa

Hahahahahaha alikaa kimya kwavile hakuwa na mpya, hayo maneno ya kurudi kwenye game kwasababu ya kulazimisha ni danganya toto tu
 
Hahahahahaha alikaa kimya kwavile hakuwa na mpya, hayo maneno ya kurudi kwenye game kwasababu ya kulazimisha ni danganya toto tu
Mkuu kiba alipumzika majukumu ya family yaliongozeka ndo maana
 
Mkuu kiba alipumzika majukumu ya family yaliongozeka ndo maana

Okay salamu zimfikie huko aliko. Kuwa kama anataka kufaulu ahakikishe amepata management inayoeleweka. Na hiyo sio kwa Kiba tu bali kwa wote wanaotaka mafanikio katika muziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…