Naamini Ali Kiba amejifunza kitu jana kua jambo lolote ukiliwekea nguvu lazima lifanikiwe tu,pia amejua kua ana fan base kubwa sana ambayo inampenda wakati wote.
Show ya jana ilikua moja ya show bora sana aliwekeza kipaji chake,nguvu na maarifa hakika amekata kiu ya mashabiki zake na sasa aache zile tabia za umwinyi na kuamini kila kitu kitaenda chenyewe tu eti kisa wanamdanganya kua ana talent akadhani talent inaweza kufanya yote bila yeye kupambana kusogea mbele,jana amestahili kuvaa ile crown ya u-king baada kumbwela muda mrefu.