Alikiba - next door Arena

Alikiba - next door Arena

Two dimension array

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,592
Reaction score
2,381
Tuliokua Jana ukumbini au tunafatilia kwenye mitandao show nzima ya alikiba" Funga mwaka na king kiba" tulete mrejesho.

Nakiri tu kwamba alikiba ni talented professional musician na atabaki kuwa hivyo forever yeye na kundi lake

Kiukweli show ilipendeza watu walikuepo wa kutosha sana ,show ilikua ya kibabe na kizazi zaidi!

Kiukweli alikiba hastaili kulinganishwa na msanii yoyote hapa bongo.

Cha mwisho nilichogundua ni kwamba " alikiba hashindani na mtu ila watu ndo wanashindana na mziki wake'

Karibuni mlete mrejesho wa hiyo kabambee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kitu anamuiga Diamond, jamaa ubunifu zero. Diamond kamboost sana la sivyo saa hizi angeshaacha muziki wenyewe.
 
Kila kitu anamuiga Diamond, jamaa ubunifu zero. Diamond kamboost sana la sivyo saa hizi angeshaacha muziki wenyewe.
Yaani wewe ni ndezi kinoma mzee baba, huwezi kumzungumzia King Kiba bila kumweka huyo hawala yako? Wapi mleta mada kamzungumzia huyo hawala yako? Mleta mada anataka uzungumzie shoo ya jana ya funga mwaka na King kiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sitaki kusema nani bora maana wanamuziki wengi na ladha ya muziki lazima iwe tofauti ila kitu kimoja tu ndio cha msingi kwa wanamuziki wote ni kuwa performance ya jukwaani ni lazima iwe live band na jana Ali Kiba kafanya hilo na ndio muziki unatakiwa. Lazima tumpongeze sana tu na wengine ni lazima wanapofanya show ni live band mambo ya playback ni wizi mkubwa sana tu sio haki kwa mashabiki. Kila mtu anaweza kuimba playback lakini Live band ndio utajuwa nani ni nani. Ali Kiba jana kaonesha anaweza na ndio huko tunatakiwa twende. CD tutasikiliza home na kwenye magari lakini nikienda show nataka kuona mtu anaimba mwenyewe huyo ndio msanii. Ali Kiba kuna vitu kidogo anatakiwa kupewa darasa namna ya kuongea katika interview ndio mapungufu yake akipata mwalimu atakaa sawa.
 
Naamini Ali Kiba amejifunza kitu jana kua jambo lolote ukiliwekea nguvu lazima lifanikiwe tu,pia amejua kua ana fan base kubwa sana ambayo inampenda wakati wote.
Show ya jana ilikua moja ya show bora sana aliwekeza kipaji chake,nguvu na maarifa hakika amekata kiu ya mashabiki zake na sasa aache zile tabia za umwinyi na kuamini kila kitu kitaenda chenyewe tu eti kisa wanamdanganya kua ana talent akadhani talent inaweza kufanya yote bila yeye kupambana kusogea mbele,jana amestahili kuvaa ile crown ya u-king baada kumbwela muda mrefu.
 
Yaani wewe ni ndezi kinoma mzee baba, huwezi kumzungumzia King Kiba bila kumweka huyo hawala yako? Wapi mleta mada kamzungumzia huyo hawala yako? Mleta mada anataka uzungumzie shoo ya jana ya funga mwaka na King kiba

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana, huyu ni hawara wa mamaako sema we utaki kusema ukweli.
 
Ni ufamba kuleta Uzi ka huu bila picha au hata ka video..
 
Back
Top Bottom