Alikiba Punguza Uongo

Kufollow back ni uamuzi binafsi soo tulizana kama maji ya mtungi. Hajafollow nduguze wewe nani?
 
Mimi siyo shabiki wa Ali Kiba lakini huu uzi ni wa kipuuzi sana. Sidhani kama muanzisha uzi yupo vizuri kwa makuzi.
 
Kwani umepungukiwa nin? na akikufollow utapata nn? sasa si ukalalamie huko insta, kama kukufollow kashindwa so unadhani humu utapata msaada gan kwa wanajamvi? unataka tukamfate kwake tumwambie akufollow back au? hili ni jukwaa la great thinkers jaman hata kama ni celebrities forum bt mada yako iwe ya ki great thinker kweli, tena inaonyesha umeumia sana from your heart, upo kwenye usingizi mzito, I guess had ukija kuamka it will be too late, take care budy.
 
Mimi siyo shabiki wa Ali Kiba lakini huu uzi ni wa kipuuzi sana. Sidhani kama muanzisha uzi yupo vizuri kwa makuzi.
Hadi wewe umeliona hili basi jamaa ni mbugila aliyetukuka.
 
asante kwa maoni. tuma salamu kwa watu watatu
 
MBONA MAGU ALITUHAIDI MASHABIKI ZAKE AHADI AMBAZO KWA AKILI YA KAWAIDA TU UNAJUA KUWEZEKANA NI VIGUMU "ELIMU MPAKA LEO BADO TUNAICHANGIA" LAKIN HUJATOA UZI WA KUMUITA MUONGO AU MTOA AHADI ZISIZO NDANI YA UWEZO WAKE,
HII SPIRIT YA UONGO NI LAANA NIMEACHIWA TUKARITHISHWA NA TUNAIENDELEZA,
 
nifollow mimi nitakufollow back
 
mkuu ulifanikiwa kupata mke msabato/muislam?
 
Ktk list ya watu ataowafollow bahati mbaya jina lako halipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…