Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio wewe nini mkuu umekuja kukumbushia kwa ID nyingine?
Mnanivunja mbavu nyie 😀😀ni ndugu yangu wa damu kabisa
Kwani umepungukiwa nin? na akikufollow utapata nn? sasa si ukalalamie huko insta, kama kukufollow kashindwa so unadhani humu utapata msaada gan kwa wanajamvi? unataka tukamfate kwake tumwambie akufollow back au? hili ni jukwaa la great thinkers jaman hata kama ni celebrities forum bt mada yako iwe ya ki great thinker kweli, tena inaonyesha umeumia sana from your heart, upo kwenye usingizi mzito, I guess had ukija kuamka it will be too late, take care budy.Niaje washkaji zangu.
Leo kuna kitu kimenijia ghafla kichwani baada ya kutembelea "akaunti'' ya insta ya Kiba. Nilitegemea nitakuta ametekeleza ahadi yake ya kuwafollow mashabiki zake lakin nikakuta kama kawaida hajamfollow mtu. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa sijui huwa anaropoka ili kumpa faida nani.? mana tukianza kuhesabu ahadi alizotuahidi mashabiki ni nyingi kiasi cha kwamba kwa ahadi za kolabo hewa tu zinaweza kutengeneza "albamu" nzima. napenda kuchukua nafasi hii kumuambia kwamba awe makini katika kauli zake na sisi watanzania sio wajinga kila siku kutoa ahadi kwa mambo usiyo na uwezo wako. #Growup
Nawasilisha
Hunizidi mimi...nimecheka sana.Mnanivunja mbavu nyie 😀😀
Hadi wewe umeliona hili basi jamaa ni mbugila aliyetukuka.Mimi siyo shabiki wa Ali Kiba lakini huu uzi ni wa kipuuzi sana. Sidhani kama muanzisha uzi yupo vizuri kwa makuzi.
asante kwa maoni. tuma salamu kwa watu watatuKwani umepungukiwa nin? na akikufollow utapata nn? sasa si ukalalamie huko insta, kama kukufollow kashindwa so unadhani humu utapata msaada gan kwa wanajamvi? unataka tukamfate kwake tumwambie akufollow back au? hili ni jukwaa la great thinkers jaman hata kama ni celebrities forum bt mada yako iwe ya ki great thinker kweli, tena inaonyesha umeumia sana from your heart, upo kwenye usingizi mzito, I guess had ukija kuamka it will be too late, take care budy.
MBONA MAGU ALITUHAIDI MASHABIKI ZAKE AHADI AMBAZO KWA AKILI YA KAWAIDA TU UNAJUA KUWEZEKANA NI VIGUMU "ELIMU MPAKA LEO BADO TUNAICHANGIA" LAKIN HUJATOA UZI WA KUMUITA MUONGO AU MTOA AHADI ZISIZO NDANI YA UWEZO WAKE,Niaje washkaji zangu.
Leo kuna kitu kimenijia ghafla kichwani baada ya kutembelea "akaunti'' ya insta ya Kiba. Nilitegemea nitakuta ametekeleza ahadi yake ya kuwafollow mashabiki zake lakin nikakuta kama kawaida hajamfollow mtu. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa sijui huwa anaropoka ili kumpa faida nani.? mana tukianza kuhesabu ahadi alizotuahidi mashabiki ni nyingi kiasi cha kwamba kwa ahadi za kolabo hewa tu zinaweza kutengeneza "albamu" nzima. napenda kuchukua nafasi hii kumuambia kwamba awe makini katika kauli zake na sisi watanzania sio wajinga kila siku kutoa ahadi kwa mambo usiyo na uwezo wako. #Growup
Nawasilisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Povu lote hili kumbe unataka follow-back ya Ali Kiba?
Kazi kwelikweli.
nifollow mimi nitakufollow backNiaje washkaji zangu.
Leo kuna kitu kimenijia ghafla kichwani baada ya kutembelea "akaunti'' ya insta ya Kiba. Nilitegemea nitakuta ametekeleza ahadi yake ya kuwafollow mashabiki zake lakin nikakuta kama kawaida hajamfollow mtu. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa sijui huwa anaropoka ili kumpa faida nani.? mana tukianza kuhesabu ahadi alizotuahidi mashabiki ni nyingi kiasi cha kwamba kwa ahadi za kolabo hewa tu zinaweza kutengeneza "albamu" nzima. napenda kuchukua nafasi hii kumuambia kwamba awe makini katika kauli zake na sisi watanzania sio wajinga kila siku kutoa ahadi kwa mambo usiyo na uwezo wako. #Growup
Nawasilisha
mkuu ulifanikiwa kupata mke msabato/muislam?Niaje washkaji zangu.
Leo kuna kitu kimenijia ghafla kichwani baada ya kutembelea "akaunti'' ya insta ya Kiba. Nilitegemea nitakuta ametekeleza ahadi yake ya kuwafollow mashabiki zake lakin nikakuta kama kawaida hajamfollow mtu. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa sijui huwa anaropoka ili kumpa faida nani.? mana tukianza kuhesabu ahadi alizotuahidi mashabiki ni nyingi kiasi cha kwamba kwa ahadi za kolabo hewa tu zinaweza kutengeneza "albamu" nzima. napenda kuchukua nafasi hii kumuambia kwamba awe makini katika kauli zake na sisi watanzania sio wajinga kila siku kutoa ahadi kwa mambo usiyo na uwezo wako. #Growup
Nawasilisha
Nashukuru Mungu nimepata anakuja next month SA. akifika nitawajulisha wala usihofumkuu ulifanikiwa kupata mke msabato/muislam?
poa mkuu, Mungu awatangulieNashukuru Mungu nimepata anakuja next month SA. akifika nitawajulisha wala usihofu