LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
ukristo huujui, ungeujua usingeshangaa ukristo wa akina rose muhandoAwe vuguvugu awe joto, ila ndo huyo anauwakilisha ukristo.. maana anaimbia kanisani na kwenye mikutano na mahubiri ya kikristo.
Kwenye uislam mtu hawezi kufanya hivo akaachwa