Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Hiyo ni tafsiri yako wala neno Kafiri halimaanishi kama ulivyotafsiri wewe,
Kila kiumbe kina haki yake na riziki yake ndio maana Mungu huwapa riziki hata wale wasiomtii,
Nilijua tu usingeweka hapa bandiko nililokuambia coz hilo bandiko halipo.
Mzee maandiko yapo mengi, sijaamua kuyaweka ilinkuepusha mada nyingine ndani ya mada nyingine...Wakristo wanaosoma Biblia wanajua
Hakuna haja ya kuendelea kuandika zaidi, tuishie hapa...